Hivi kwa nini Wahitimu wa Mzumbe University ndo wanaongoza kwa kuajiriwa na taasisi za umma? what is wrong with UDSM graduates?KUKU KUKU TU JOGOO JINA,UDSM ZAMANI, SIKU IZI WA2 KUTOKA VYUO VINGINE WANAKIMBIZA... ALAFU WANAOKUWA NA LIFE ZURI UWA NI WA VYUO VINGINE NA NDIO WAJANJA, ILA WA UDSM KIUKWELI WENGI WAO NI WALUGA LUGA YANI WAKUJA, WASHAMBA.. "samahani kwa maneno yangu yanye ukweli ndani yake"
Tupe takwimu, isije ikawa unaongea kwa hisia.Hivi kwa nini Wahitimu wa Mzumbe University ndo wanaongoza kwa kuajiriwa na taasisi za umma? what is wrong with UDSM graduates?
haha nyani ngabu u must b a scientist.
pole saaana............wewe ni mmoja wa wahanga walionyimwa udahili UDSM ukatafuta hifadhi kwingine...........hata ukukashifu...........UDSM quality iz there to stay!!!!!!!!!!!! pole kwa kukosa golden chance uliyoitamani kwa muda mrefu!!!!!!!!!!!
kama unasema mnafundishwa na walimu wa UD basi unakubali kuwa UD wakali...........mbona UD haiaziimi walimu kutoka Tumaini???
sorry 4ua concious!!!!!!!
Nyani ngabu huwez jua ugum wa sheria mpaka uingie kwenye hii field adimu, sheria sio kukariri tu legal maxim au case law au vifungu vya sheria, law is more than that, and u nd to be gd and bright to be a gd lawyer
<br />Nyani ngabu huwez jua ugum wa sheria mpaka uingie kwenye hii field adimu, sheria sio kukariri tu legal maxim au case law au vifungu vya sheria, law is more than that, and u nd to be gd and bright to be a gd lawyer
kama rahisi............tafuta udahili wa LL.B UDSM.........ukifanikiwa kugraduate rudi humu jamvini uatuhabarishe............basically sioni sababu ya kuhangaika kukuelewesha kuhusu hili coz it seemz una bias na sheria....., altenatively tafuta mtu unayemwamini kuwa ni kipanga umpeleke UD au MZUMBE afu uone feedback atakayokupatia!!
I think u are among of people who are so jelouse of the legal profession, so sorry for that!!
<br />
<br />
Mkuu...udsm law? naona ni ukiritimba wa kozi yenyewe na walimu wanaotufundisha. Miaka 50 tangu kitivo cha sheria kianzishwe (1961) 1st class ni 14 tu!! we're not vilaza, ila mfumo wa pale udsm- law unatufelisha.
Jamani Degree za wenzenu Tumaini ni 'Mdebwedo' 1st Class Rundo si za Kutafuta!
Kwao elimu si vita!kama Mzumbe na UDSM!
I think u must not be as gud as such coz if so, even ur college must has been retained u. Any way can u pm me n tell where du u livenatafuta Kazi graduate frm Tumaini Very talented in law practice
Watu wa Udsm mtaishia pata Vi gpa VYA 2 hata Masterz hamtasoma shauri zenu
What's there to be jealous of, really? Nothing, nada, zilch. Eti jealous, unaijua profession yangu wewe? Kwanza jifunze kuandika vizuri. Pengine ungekuwa unajua kuandika vizuri hata nisingepata shida kukuelewa!
nashukuru kuwa umeweza kuelewa japo post yangu ilikuwa na makosa madogomaadogo,
nimefikiri kuwa una wivu coz umeargue as if watu wanapretend kuwa sheria ni ngumu, wakati wewe unajua ni rahisi.
profession yako siijui, ila dhamira yako inakubaliana na nilichokueleza. Kwa vile mimi ni mtafiti nimepata wazo kuwa huenda hauiinjoy profession yako, you feel like practising law wakati huohuo huna uwezo huo., ALSO inaelekea kuwa kuna wanasheria ambao either uliwahi kuwa nao close au unaukaribu nao kwa sasa wakakuboa sana. Hivyo umefikia hatua ya kugeneralise mambo!!!!
nimeona umendika kuwa "miafrika ndivyo tulivyo" it is very clear that umekata tamaa sana, you have negativity towards Africans.
Kumbe 1st yenyewe ya Tumaini!.
Hebu naomba usiaibishe heshima ya 1st Class, tangu lini 1st class holder wa sheria akatafuta kazi?. Hii ni dalili hiyo 1st class yako ni ya kupewa tuu ili mboost image ya Tumaini.
UDSM nazijua 1st Class tatu, Dr. Asha Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Hamudi Majamba ambaye ya kwake ndio ya mwisho 80's mpaka sasa, more than 20 years Ist Class haijawahi kupatikana tena, hivyo lazima nione ajabu 1st class wa LL.B kutafuta kazi. Very unusual!.