Livingstone Lusinde hakumaliza Darasa la Saba

Ila niseme tu kwamba sishangae kabisa kwamba huyu bwana haja makiza shule ya msingi. Katiba mpya iweke wazi kiwango cha elimu mtu anayo takiwa kuwa nayo kama anataka kuwa mbunge.

Ni kiwango gani cha elimu kiwe ndiyo kiwango cha chini kabisa ambacho mbunge atakiwe kuwa nacho?
 
Ni kiwango gani cha elimu kiwe ndiyo kiwango cha chini kabisa ambacho mbunge atakiwe kuwa nacho?

Well this is my own opinion ila mimi ningeona kwamba form 4 ingefaa kuwa kiwango cha chini cha elimu maana hata serikalini kiwango cha chini cha kuweza kupata ajira ni form four.
 
Well this is my own opinion ila mimi ningeona kwamba form 4 ingefaa kuwa kiwango cha chini cha elimu maana hata serikalini kiwango cha chini cha kuweza kupata ajira ni form four.

Na hiyo form four ni ili mradi tu uwe na cheti au daraja la ufaulu nalo ungependa lizingatiwe?
 
Ndio sababu akiona ishara ya USHINDI ya "V" ya Chadema anakumbuka manati aliokuwa anatumia kuulia ndege wa kitoweo huko kwao Mtera.
 
Elimu yake Chuo kikuu cha DSM,,
leteni cv yake acheni propaganda,,, Chadema Mkiti Taifa Elimu Form Six anataka kuwa Rais,,,
 
wala sishangai tena nikirejea ya arumeru na inaonekana alipoachia darasa la sita akaenda kujiunga na shule ya sekondari ya matusi.
 
Mtu yeyote makini atajua tu hilo kutokana na ongea ya mtu kwenye public!
Mbaya zaidi ujue mtu akama anaweza kuongea hivyo mbele za wakubwa na watoto, basi ujue mkewe ndani ana shida, na hakuna tusi asilowahi kutukanwa!
Pole mama, Mrs Lusinde!

Mtu kutukana matusi aina uhusiano na kuwa na elimu kuna watu wana PhD lakini mashoga vipi hawa?
 
Hivi ikithibitika kuwa Mbunge ametoa maelezo yasiyo na ukweli katika C.V. yake alipokuwa anagombea uBunge, Serikali au mamlaka ya Bunge hawachukui hatua?

Kama hatua hazichukuliwi kuhakikisha wawakilishi wa Wananchi hawadanganyi, basi tutaendelea kuwa na viongozi ambao hawatilii maanani uadilifu ktk kuhudumia umma.
 
Hapana mkuu katiba inasema sifa ya kuwa mbunge ni uwe unajua kusoma na kuandika aidha Kiingereza au Kiswahili. Kwa hiyo anyone who is literate anaweza kuwa mbunge hata kama hana shule rasmi.

Ila niseme tu kwamba sishangae kabisa kwamba huyu bwana haja makiza shule ya msingi. Katiba mpya iweke wazi kiwango cha elimu mtu anayo takiwa kuwa nayo kama anataka kuwa mbunge.

Well said, Lakn kwa nini ofce za bunge zmedanganya kuwa he is a std 7 leaver? walitakiwa waweke Kaishia la 6 au Std 6 drop out. Kwan shda nini maadam anajua kuxoma na kuandika forget about hs IQ Whch is poorest than all Mp in tanzania hstory since indipence, sasa swala hapa si elimu tena but OFIS ZA BUNGE KUDANGANYA MTANDAONI.
 
hapa lazima kutakuwa na criminal offence kwani kama hakumaliza darasa la saba ametumia cheti gani kuonesha kwamba alisoma mpaka std 7 ... obvious ame-forge cheti
 
Back
Top Bottom