Livingstone Lusinde hakumaliza Darasa la Saba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Livingstone Lusinde hakumaliza Darasa la Saba

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jambo1, Jul 16, 2012.

 1. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mbigiri Kata ya Magole wilayani Kilosa..nimesoma shule ya Msingi Mbigiri ambayo Mbunge wa Mtera Bw Livingstone Lusinde naye alisoma huko..,Nimeongea na alitekuwa mwalimu wa Shule hiyo(amestaafu kwa sasa) kuhusu ndugu Lusinde.,lakini amenithibitishia kuwa Lusinde hakumaliza darasa la Saba aliishia Darasa la Sita..na wakati huo alikuwa anaishi kitongoji cha Misufiti maarufu kama Gheto..Nakaribisha maswali zaidi nitayajibu..
  Polis - View MpGeneral
   
 2. F

  FAMILY LAW Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAMBO1 kwa hiyo LUSINDE alinunua cheti au alikwenda kurudia?
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Darasa la saba ndo sifa ya ubunge kwa maana hiyo lusinde hafai maana hana sifa iyo.,.wanaharakati mko wapi?
   
 4. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo?
   
 5. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ili uwe Mbunge lazima uwe ememaliza std 7.
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ikithibitika anatakiwa kuvuliwa ubunge!
   
 7. S

  STIDE JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu inamaana huyu "kudadadeki" hata ya aliiogopa umande!!!? Na ilikuwaje sasa akafikia hapa alipo!?
  Mmh!! Basi Tz ni zaidi ya tuijuavyo!! Ila nakubaliana na wewe 50.1% maana hata IQ yake iko chini sana na ile mitusi yake....mmh!!
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hapana mkuu katiba inasema sifa ya kuwa mbunge ni uwe unajua kusoma na kuandika aidha Kiingereza au Kiswahili. Kwa hiyo anyone who is literate anaweza kuwa mbunge hata kama hana shule rasmi.

  Ila niseme tu kwamba sishangae kabisa kwamba huyu bwana haja makiza shule ya msingi. Katiba mpya iweke wazi kiwango cha elimu mtu anayo takiwa kuwa nayo kama anataka kuwa mbunge.
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hata Mhesimiwa mkuu akufanya shahada ya udhamili, wala uzamivu, lakini sasa ni Daktari wa Filosofia....!
   
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mbona humalizii mkuu pia Mzee Lusinde siye baba yake ni mtoto wa houseboy wa mzee Lusinge, swali hivi ni kwa nini anatumia jina la boss wa baba yake?
   
 11. N

  NewOrder JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Duh!! Hii kali. Jamaa kasoma miaka 8 (CV iliyoko tovuti ya Bunge) kwa marasa pungufu ya 7. Mmmhh!
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mtu yeyote makini atajua tu hilo kutokana na ongea ya mtu kwenye public!
  Mbaya zaidi ujue mtu akama anaweza kuongea hivyo mbele za wakubwa na watoto, basi ujue mkewe ndani ana shida, na hakuna tusi asilowahi kutukanwa!
  Pole mama, Mrs Lusinde!
   
 13. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mnamkumbuka Kihiyo?
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Lusinde hawezi akawa amemaliza la saba ningeshangaa sana!
  Hii ni habari ya ukweli na uhakika!
   
 15. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau ni uhakika..,mi nimemaliza miaka ya 2000..,and nafahamu hata baadhi ya walimu wa Shule hiyo..Mwalimu wake ameniambia Lusinde alikuwa hajui hata kuchana nywele.,shuleni pekupeku..ni balaa ni mengi but najitahidi nipate mahojiano naye then nimrecord nitapost hiyo audio...
   
 16. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  thawa thawa kabitha mukubwa
   
 17. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa kusikiliza hoja zake utajua tu kuwa hata la Saba hajamaliza. Hajui maana ya LY kama tulivyokuwa tunaitwa enzinhizo
   
 18. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  hii ni kali mkuu.
   
 19. F

  FAMILY LAW Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnataka lusinde ajiue kukwepa aibu hii.. huyu mbunge anafaa sana kushirikiana na akina isha mashauzi kuimba taarab.
   
 20. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,401
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Jamani Katiba inaruhusu mtu yeyote awe mbunge ili mradi tu anajua kusoma na kuandika, haijataja kiwango cha madarasa. Huyu Livingstone waachieni wananchi wake, pengine wao waliona yeye ndo the best. Wagogo bana, usikute walihongwa ubuyu na bakuli moja moja tu la mtama wakaeleweka. Very cheap.
   
Loading...