Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,303
Ndg wanajamii heshima mbele kwenu kwa kuamua kuendelea kutenga muda wenu na kujikita katika kuchambua mambo yalihusuyo taifa letu kwa weredi mkubwa mlio nao nawapongeza,
Nipo jimboni kwa huyu bw. Livingstone Lusinde kwa takribani wiki 2 hivi sasa, nikifuatilia mambo kadha wa kadha kati ya mambo ambayo nimeona si vibaya nikawashirikisha wanajamii wenzangu tukayajadili ni pamoja na elimu ya huyu bwana Lusinde.
Hili ni kwa mujibu wa ndg, marafiki, wananchi wa Mtera na jamaa zake wa karibu, Alianza shule ya msingi yaani darasa la kwanza katika jimbo la Kongwa, mwaka sikuweza kuambiwa na watu niliyowahoji kwa sababu wengi wao niwazee hivyo kumbukumbu zao wanadai zimeanza kupotea na aliishia darasa la nne kwa utukutu aliokuwa nao, hivyo aliamua kurudi kwao kijiji cha Mvumi wilaya ya Chamwino katika jimbo la Mtera, akiwa nyumbani kwao Ugogoni aliamua kujishugulish na shughuli mbalimbali ikiwemo ya ukulima wa karanga baada ya kuona hanufaiki shughuli hiyo, ndipo alipoamua kujiingiza katika siasa na kujiunga na chama cha Mapindizu kutokana na kutokuwepo muamko wa vyama vingine.
Kuwa Mbunge ni kutokana na vijana kuwa wamechoshwa na mbunge aliyekuwepo bw. Samwel Malecela kutowaletea maendeleo kwa kipindi chote cha ubunge wake walichomchagua,
Wanamtera wanasema hawajutii kumchagua bw. Lusinde kwani kazi na hitaji lao lilikuwa nikuwaondolea bw. Malecela.
Naomba kuwasilisha, karibu tulichambue hili.