Samwel Jr
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 1,362
- 960
Amina 🙏Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
Amina 🙏Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
Binafsi mimi kwa Ujerumani ni Shabiki wa Bavarians ila sasa haikutakiwa hivi aaah Mane MANE wamekosea sana hata kama tutapata mafanikio season ianzayo lakini pangewepo mane angestahili kuwepo unauza Ng'ombe mzima afu unanunua ndama mdogo ukisema unataka afanye kazi za ng'ombe mkubwa? Hapana ila acha tuone wapi ni wapi all in all Respect kwa MANE Mpambanaji haswa kama General GaddafiMane anafanya nianze kuangalia ligi ya ujerumani wallah .....ndio hivyo Liverpool ni timu yetu pendwa ila hili swala la Mane naona Kila mtu limemgusa ila poa tu maisha yanatakiwa yaendelee...
Yaani Akina Mane na Origi wameondoka.. Ila tumebaki na akina Ox,Milner na wengineo jamii ya hao!Hakika Mane ametuheshimisha sana ila wale wamarekani wajinga sana wajifanya wachumi sana kumbe hata kwenye 30 bora ya matajiri wa dunia hawapo ni mauzauza we ngoja andoke Klop watajua hawajui kumpata mtu ambaye anakutumikia kwa moyo wake wote afu umchezee chezee hakika akiondoka hutompata tena Ndani ya Liverpool ni wachezaji wachache sana ambao wanaishi kwa furaha MANE , Firmino, Klop , Naby, Fabinho , wengine wote likitokea la kutokea wanasahau yote yaani tunaenda pabaya sana mafanikio kidogo tunaanza kuletea dharau watu muhimu?

Ipo siku atasema. Uso wake unaonesha ana mengi sana moyoni.Laiyesababisha Mane kuondoka ni Klopp na uongozi mzima wa Liverpool. Na mimi nimefurahi sana Mane kuondoka ili hao wazungu uchwara wajifunze kuwadhamini watu weusi.
MAne kaipigania sana Liverpool, katika muda wake wote alioitumikia Liverpool Mane hakuachaga kucheza kwa juhudi na kujitoa. Wamekuja Salah na VVD wakaanza kupewa credits kila kona ila Mane hakuna hata dalili za kumpa credits.
Mane aliona bora aondoke kimyakimya bila kuisema vibaya Liverpool na kuharibu jina lake alilolitunza kwa gharama za kuwa a real profofessional na Kuhamia Bayern ili Klop and co waone umuhimu wake kwenye klabu.
Mane alikuwa ni mtu aliyekomaa kifikra na kisoka na utaona hata kipato chake alivyokuwa anatumia kujenga mashule na kusaidia watu wake tofauti na hao wengine ambao hawafany lolote kwa ajili ya jamii zao. Mane alijiona not protected, not respected, not recognized na hivyo akaamua kusepa kwenda kutafuta chalenge nyingine huko nje
Weka haya maoni yako kumbukumbu, kuna siku tena sio mbali Mane ataongea friendly. Mane ana mapenzi na Liverpool na mashabiki wake ndio maana kaondoka kistaarabu. Pili Mane hataki kuchafua status yake ya kuwa one of the best respected Liverpool Legend kwa mashabiki lakini sio uongoziIshu ya Mane nitaenda tofauti kidooogo na majority.
Wakati wa kusaini mkataba agent wa Sadio na S. Mane mwenyewe walikuwepo na ndio walitia saini. Huo mkataba ndio huu umekuja hadi 2022/2023 kwenye kuongeza ndio wakashindwana. Tusijichukulie always kubagiliwa agents ndio uwezo wake wa mazvngumzo na ushiwawishi (r.i.p Mino Raiola agent wa maana kabisa kwa wateja wake Jambo jingine ishu ya mshahara kwa Liverpool lipo wazi. FSG haijawahi kubadilika kwenye sera zao toka waichukue timu.
FSG wanajaribu wataka kubembelezana na serikali ya kiingereza, kua inajali wazawa, na kibiashara hua wanajiweka juu kithamani ila uhalisia hawana thamani.
Mane ameondoka bila kinyongo. " I'm Liverpool no. 1 fan after the fans" i will return to Liverpool to see them scoring.
J. Carragher aliwahi kusema " they down klopp quite at anfield fsg wont believe this is same Liverpool threaten their opponents"
Bad enough decision makers wapo huko sie huku ni kufurahia maamuzi au kuumia.
Best of luck to SM10, Origi (g.o.a.t himself) Taki.
Sure mkuu pamoja na ukali wake mane sikupenda aje city coz city inazalau Sana waafrica na haijali mafanikio Yao na kujituma kwao ...!Weka haya maoni yako kumbukumbu, kuna siku tena sio mbali Mane ataongea friendly. Mane ana mapenzi na Liverpool na mashabiki wake ndio maana kaondoka kistaarabu. Pili Mane hataki kuchafua status yake ya kuwa one of the best respected Liverpool Legend kwa mashabiki lakini sio uongozi
Wakati anaondoka kasema friendly, hakuna sababu iliyomfanya aondoke zaidi ya kutafuta chalenge mpya
Maswali kwanini aliitaka Bayern tu na wala sio Chelsea, Man city kwa jina kubwa kama la Mane timu yeyote kubwa ingemtaka. Aliona Bayern ndio timu kubwa pekee ambapo atapewa heshima wakati career yake inaelekea ukingoni. Timu nying kubwa hasa la England haziwadhamini hata kuwajali watu weusi hasa wanaotoka Afrika. Yaya Toure alifanya makubwa sana Man City hakuna aliyemheshimu wala kumjali sio kocha sio uongozi. Klopp aliwahi kuita Afcon "A little tournamenent" November 2021 na baada ya Senegal ya Mane kubeba ubingwa hakupongezwa wala kuwa noticed na Klopp, hayo ni madharau direct kwa Mane. Tusubiri mengi yatafichuliwa kama sio kwa Mane ni kwa watu wa karibu naye
Case ya Mane mimi nailinganisha na ya Lewandowski, katika vilabu vyote ni Barca tu kaona, na katika umri wake huo na impact aliyoleta bado hadhaminiwi na yeye kasema wazi sio kama Mane. Anaondoka kwenda kwenye klabu ambayo itamdhamini
Binafsi nina imani naye sana tu, provided atakuwa chini ya mtaalam Klopp na jopo lake!Watu wanambeza sana NUNEZ lakin mi nachojua ukitaka striker we nenda South America
Tetesi...Tetesi zinasema Salah Hana furaha ,na anampango wa kusepaa
Tulimnunua kwa 7. akatupa FA CUp n league Cup then tukauza kwa 15. Its just business.Minamino mlimnunua wa Nini?
Mpira ni biashara ndugu... Tak bei yake kule RB ilikua chee sana Liverpool wakaona fursa kuwekeza kwake na sasa imelipa...Minamino mlimnunua wa Nini?
Taki anakwenda zake Monaco...Wakuu minamino yupo au kasepa na kaenda wapi ORIGI wapi jamni