Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mane anafanya nianze kuangalia ligi ya ujerumani wallah .....ndio hivyo Liverpool ni timu yetu pendwa ila hili swala la Mane naona Kila mtu limemgusa ila poa tu maisha yanatakiwa yaendelee...
Binafsi mimi kwa Ujerumani ni Shabiki wa Bavarians ila sasa haikutakiwa hivi aaah Mane MANE wamekosea sana hata kama tutapata mafanikio season ianzayo lakini pangewepo mane angestahili kuwepo unauza Ng'ombe mzima afu unanunua ndama mdogo ukisema unataka afanye kazi za ng'ombe mkubwa? Hapana ila acha tuone wapi ni wapi all in all Respect kwa MANE Mpambanaji haswa kama General Gaddafi
 
Hakika Mane ametuheshimisha sana ila wale wamarekani wajinga sana wajifanya wachumi sana kumbe hata kwenye 30 bora ya matajiri wa dunia hawapo ni mauzauza we ngoja andoke Klop watajua hawajui kumpata mtu ambaye anakutumikia kwa moyo wake wote afu umchezee chezee hakika akiondoka hutompata tena Ndani ya Liverpool ni wachezaji wachache sana ambao wanaishi kwa furaha MANE , Firmino, Klop , Naby, Fabinho , wengine wote likitokea la kutokea wanasahau yote yaani tunaenda pabaya sana mafanikio kidogo tunaanza kuletea dharau watu muhimu?
Yaani Akina Mane na Origi wameondoka.. Ila tumebaki na akina Ox,Milner na wengineo jamii ya hao!
Yaani hii timu ni ya ajabu sijapata kuona

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kama shabiki kipenzi wa dam na mwanachama halisi wa Liverpool kiukwel Mane kuondoka imeniuma sana niko tayar salah aondoke mda wowote ila sio mane vile alivoondoka.

Nafkir pia mane kaamua kuondoka baada ya kuona wamiliki wakishugulikia kumuongezea salah mkataba na kwa upande wake kukiwa hakuna mchakato wowote unaoendelea wa kuongezewa mkataba au mshahara

Players come and go liverpool stays forever best of luck sadio my fellow african brother you put on the real work on the pitch. YNWA
 
Aliyesababisha Mane kuondoka ni Klopp na uongozi mzima wa Liverpool. Na mimi nimefurahi sana Mane kuondoka ili hao wazungu uchwara wajifunze kuwadhamini watu weusi.
Mane kaipigania sana Liverpool, katika muda wake wote alioitumikia Liverpool Mane hakuachaga kucheza kwa juhudi na kujitoa. Wamekuja Salah na VVD wakaanza kupewa credits kila kona ila Mane hakuna hata dalili za kumpa credits.
Mane aliona bora aondoke kimyakimya bila kuisema vibaya Liverpool na kuharibu jina lake alilolitunza kwa gharama za kuwa a real profofessional na Kuhamia Bayern ili Klop and co waone umuhimu wake kwenye klabu.
Mane alikuwa ni mtu aliyekomaa kifikra na kisoka na utaona hata sehemu ya kipato chake alivyokuwa anatumia kujenga mashule na kusaidia watu wake wenye shida tofauti na hao wengine ambao hawafanyi lolote kwa ajili ya jamii zao. Mane alijiona not protected, not respected, not recognized na hivyo akaamua kusepa kwenda kutafuta chalenge nyingine huko nje
 
Laiyesababisha Mane kuondoka ni Klopp na uongozi mzima wa Liverpool. Na mimi nimefurahi sana Mane kuondoka ili hao wazungu uchwara wajifunze kuwadhamini watu weusi.
MAne kaipigania sana Liverpool, katika muda wake wote alioitumikia Liverpool Mane hakuachaga kucheza kwa juhudi na kujitoa. Wamekuja Salah na VVD wakaanza kupewa credits kila kona ila Mane hakuna hata dalili za kumpa credits.
Mane aliona bora aondoke kimyakimya bila kuisema vibaya Liverpool na kuharibu jina lake alilolitunza kwa gharama za kuwa a real profofessional na Kuhamia Bayern ili Klop and co waone umuhimu wake kwenye klabu.
Mane alikuwa ni mtu aliyekomaa kifikra na kisoka na utaona hata kipato chake alivyokuwa anatumia kujenga mashule na kusaidia watu wake tofauti na hao wengine ambao hawafany lolote kwa ajili ya jamii zao. Mane alijiona not protected, not respected, not recognized na hivyo akaamua kusepa kwenda kutafuta chalenge nyingine huko nje
Ipo siku atasema. Uso wake unaonesha ana mengi sana moyoni.
 
Ishu ya Mane nitaenda tofauti kidooogo na majority.

Wakati wa kusaini mkataba agent wa Sadio na S. Mane mwenyewe walikuwepo na ndio walitia saini. Huo mkataba ndio huu umekuja hadi 2022/2023 kwenye kuongeza ndio wakashindwana. Tusijichukulie always kubagiliwa agents ndio uwezo wake wa mazvngumzo na ushiwawishi (r.i.p Mino Raiola agent wa maana kabisa kwa wateja wake Jambo jingine ishu ya mshahara kwa Liverpool lipo wazi. FSG haijawahi kubadilika kwenye sera zao toka waichukue timu.
FSG wanajaribu wataka kubembelezana na serikali ya kiingereza, kua inajali wazawa, na kibiashara hua wanajiweka juu kithamani ila uhalisia hawana thamani.

Mane ameondoka bila kinyongo. " I'm Liverpool no. 1 fan after the fans" i will return to Liverpool to see them scoring.

J. Carragher aliwahi kusema " they down klopp quite at anfield fsg wont believe this is same Liverpool threaten their opponents"

Bad enough decision makers wapo huko sie huku ni kufurahia maamuzi au kuumia.
Best of luck to SM10, Origi (g.o.a.t himself) Taki.
 
Weka haya maoni yako kumbukumbu, kuna siku tena sio mbali Mane ataongea friendly. Mane ana mapenzi na Liverpool na mashabiki wake ndio maana kaondoka kistaarabu. Pili Mane hataki kuchafua status yake ya kuwa one of the best respected Liverpool Legend kwa mashabiki lakini sio uongozi

Wakati anaondoka kasema friendly, hakuna sababu iliyomfanya aondoke zaidi ya kutafuta chalenge mpya
Maswali kwanini aliitaka Bayern tu na wala sio Chelsea, Man city kwa jina kubwa kama la Mane timu yeyote kubwa ingemtaka. Aliona Bayern ndio timu kubwa pekee ambapo atapewa heshima wakati career yake inaelekea ukingoni. Timu nying kubwa hasa la England haziwadhamini hata kuwajali watu weusi hasa wanaotoka Afrika. Yaya Toure alifanya makubwa sana Man City hakuna aliyemheshimu wala kumjali sio kocha sio uongozi. Klopp aliwahi kuita Afcon "A little tournamenent" November 2021 na baada ya Senegal ya Mane kubeba ubingwa hakupongezwa wala kuwa noticed na Klopp, hayo ni madharau direct kwa Mane. Tusubiri mengi yatafichuliwa kama sio kwa Mane ni kwa watu wa karibu naye

Case ya Mane mimi nailinganisha na ya Lewandowski, katika vilabu vyote ni Barca tu kaona, na katika umri wake huo na impact aliyoleta bado hadhaminiwi na yeye kasema wazi sio kama Mane. Anaondoka kwenda kwenye klabu ambayo itamdhamini
 
Sure mkuu pamoja na ukali wake mane sikupenda aje city coz city inazalau Sana waafrica na haijali mafanikio Yao na kujituma kwao ...!

Mwisho wa siku angeishia kuwa disappointed
 
IMG_20220626_112811_453.jpg
 
Minamino mlimnunua wa Nini?
Mpira ni biashara ndugu... Tak bei yake kule RB ilikua chee sana Liverpool wakaona fursa kuwekeza kwake na sasa imelipa...

Tazama pia Ben Davies ni muda tu utasikia kashauzwa...

Na Solanke nae ilikua hivyo hivyo.... FSG ni habari nyingine kabisa.

YNWA
 
Darwin Nunez ,One season wonder ,ngoja epl ianze ,tumuone ,Kwa Halland Sina Shaka ,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom