Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Salah in mkuu ...vipi kwenye hizo game 5 Firmino akionyesha makali msimamo wako utakuwaje?

Hapo namna hakuna itabidi Jota, Salah, Mane na Firmino wote wacheze kutegemea na uhitaji wa game.

Salah na Mane wacheze pembeni, Firmino akae nyuma kidogo na Jota awe mbele, viungo wawili.

Ila game inayohitaji kukaba inabidi mmoja apungue tucheze na viungo watatu.
 
Ukisema Salah anapoteza chance nyingi ujue ni kwa sababu anakaa kwenye position nzur mara nyingi na ndo anayecreate chances nyingi kuliko wachezaji wote pale mbele!!!!

So kwa sababu gameplan ya juz imefanya kazi kwa leceister isitufanye tuanze kutema mbovu kwa mwamedi coz ana umuhimu mkubwa sanaa
Na ndo hivyo hivyo kuna game ambazo utamwona ana pwaya ubaya wa salah akikutana na beki visiki huwa anapata shida sana, Salah man to man hawezi kabisa huwa anaishia kupoteza mipira.
 
Adjustments.jpg
 
Kuna kauli kwamba, Salah asipokuwepo timu inacheza vizuri sana.

What does that mean? Kwamba Salah ni mzigo kwenye timu na ndiye anaturudisha nyuma?

Shida yote ni kwamba juzi tulimfunga Leicester kirahisi ndiyo sababu kuu ya Salah kukataliwa.
But pia tumeshinda na Cleansheet juu bila ya VVD tuliyekung'utwa 7 akiwa yeye ndiye Beki lakini sijaona Comment inayosema bila ya VVD ndiyo tunapata Cleansheet.
 
Ongezea: Tumeshinda kirahisi bila Henderson.
 
Wale wanaosema Salah sio mchezaji Muhimu/Mkubwa/Bora kwa Liverpool kwasababu tu tumemfunga Leicester City bila ya yeye kuwepo hebu kwanza wajaribu kupitia haya ili tujadili kimpira.

LIVERPOOL 3 - 0 LEICESTER CITY

• Tumeshinda bila ya Salah - Salah sio muhimu
• Tumeshinda bila ya VVD - VVD sio muhimu
• Tumeshinda bila ya TAA- TAA sio muhimu
• Tumeshinda bila ya HENDO - Hendo sio muhimu

Hii tabia ya kuhukumu mchezaji based on one good result ndiyo iliyoleta utata Msimu uliopita wa Washabiki wengine kusema eti Salah auzwe abakishwe Origi kisa tu Oringi aliwaotea Barcelona.

Sasa Origi alihongwa mpaka mkataba mpya anafanya utopolo gani?
 
Mfano tungeweka polls, ungechagua Salah out au Salah in?

Maana naona umejibu vyote viwili pale juu.

Mfano mimi binafsi msimamo wangu ni Salah in, Firmino out (ila game ya juzi inanifikirisha kidogo, nampa game 5 za EPL).
Mimi in kwa dakika 60 Firminho na Mane hawa watu kwangu ndo team hao wengine ndo wapishane huko
 
Ukisema Salah anapoteza chance nyingi ujue ni kwa sababu anakaa kwenye position nzur mara nyingi na ndo anayecreate chances nyingi kuliko wachezaji wote pale mbele!!!!

So kwa sababu gameplan ya juz imefanya kazi kwa leceister isitufanye tuanze kutema mbovu kwa mwamedi coz ana umuhimu mkubwa sanaa
Hem kumbuka gem zote ngumu alizokosa kucheza si ya juzi tu
 
Tangu mzunguko wa pili wa msimu uliopita, Sadio ndio amekuwa moyo wa ushindi wa Liverpool hata km hatofunga goli kwenye mechi.
Na hadi sasa, mchango wa Sadio ni mkubwa zaidi ya yeyote kwenye ile front three yetu.

Salah amepoteza target kidogo, na ndio maana kiwango Cha ufungaji wake kimepungua. Si ajabu kuona anakosa magoli ambayo alikuwa anafunga msimu wa kwanza alipofika lfc.

Bobby amepoteza target pia, licha ya kuaminiwa na Jurgen, lkn ukweli utabaki kujadiliwa, amepoteza target.
Kitu pekee kinachomfanya aendelee kuanza ni namna anavyoweza kufany organisation ya mashambulizi na kuwasaidia wenzake wafunge, basi.

Diogo anaonekana mwenye kismati na nia ya ku-shine haswa. Na hapa ndipo anapoumiza vichwa vyetu kujadili hili.
Binafsi namuona Diogo km Louis, ana usongo wa goli, ari ya kufanikiwa na kuwa mchezaji mahiri zaidi.
Kwa mchezaji wa namna hii, huwezi kumuanzisha bench afu umuanzishe Bobby, haiwezekani.
Uzuri ni kuwa Diogo anaweza kucheza 9 na 7 tena kwa kiwango cha kufanana, na hapa ndipo Salah anaonekana kuja kufunikwa

Pamoja na hayo, hawa wote wanahitajika lfc, lazima tuwe na kikosi kitachoweza kupindua matokeo muda wowote ikiwa walioanza wameshindwa, na hapo ndipo tutapotawala soka la epl na uefa.
 
Wale wanaosema Salah sio mchezaji Muhimu/Mkubwa/Bora kwa Liverpool kwasababu tu tumemfunga Leicester City bila ya yeye kuwepo hebu kwanza wajaribu kupitia haya ili tujadili kimpira.

LIVERPOOL 3 - 0 LEICESTER CITY

• Tumeshinda bila ya Salah - Salah sio muhimu
• Tumeshinda bila ya VVD - VVD sio muhimu
• Tumeshinda bila ya TAA- TAA sio muhimu
• Tumeshinda bila ya HENDO - Hendo sio muhimu

Hii tabia ya kuhukumu mchezaji based on one good result ndiyo iliyoleta utata Msimu uliopita wa Washabiki wengine kusema eti Salah auzwe abakishwe Origi kisa tu Oringi aliwaotea Barcelona.

Sasa Origi alihongwa mpaka mkataba mpya anafanya utopolo gani?
Origi amejishindwa naona ndo amejikatia tamaa kabsaa ametafuta namba kwa tabu amepewa anaharibu.

Yeye na Minamino nimewakatia tamaa
 
Salah alishuka kiwango mda mrefu sana ila watu hawakuwahi notice sababu liver haina striker anayetokea kulia zaidi yake, ndio maana kuna mda utaona anatolewa mane mara nyingi ili kutafuta matokea kwa kumtumia origi na huku unaona kabisa salah alitakiwa atoke ila hakuwa na replacement, kuna watu huwa wanasema aanze shaqir namba ya salah haitotokea maana hawafanani , shaqir ni namba kumbi nature yake au labda umuweke mid ya kulia ni kama mata wa man u. Ndio maana salah hatukuona madhaifu yake mda mrefu, sasa jota amekuja anacheza sehem zote pale mbele hata game ya man city alikuwa anacheza wing ya kulia na anatokea nyuma. Kwahyo jamaa amefanya tuone madhaifu ya utatu wetu woteeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom