Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Sometimes inabidi ucheke kwa hizi comments.
Kweli!!!! Kazi yake ni kuunganisha??? Na kufunga niziada???? Kweli!!!!!!! Tuweni siriazi Kidogo.

Tena Bobby ni Striker kibongobongo tunamwita Namba 9 leo hii tunaambiwa kufunga ni Ziada lakini Salah ambaye ni Winger analaumiwa kwa kuto kufunga.
Haki ya nani hichi kizazi Sishangai Mdee kuanza urafiki na Mashinji.
 
Sometimes inabidi ucheke kwa hizi comments.
Kweli!!!! Kazi yake ni kuunganisha??? Na kufunga niziada???? Kweli!!!!!!! Tuweni siriazi Kidogo.
Lazima ucheke mana uwazavyo sivyo niwazavyo.
Sio kwa vile kavishwa namba 9 unajiaminisha ni straika hapana mpira ni mbinu mzee huyo hajawai kua mfungaji ndugu.
 
Jota yupo, sisi timu Jota tunasema kazi kazi tu. Magoli kwa kwenda mbele.

Juzi baada ya Bobby kufunga binafsi nilishangilia sana, maana kwa zile kosa kosa alizofanya angetoka bila goli hali ingekuwa mbaya sana kwake na kwa mashabiki zake.

Kuna makosa alifanya mpaka Baba Swalehe akawa anajiuliza atamwambia nini Swalehe kwamba lile halikuwa goli!
Unaona bhana ni rahisi sana kumjua goligeta Jota ndie
 
Sasa kwanini awe Targeted MO tu?

Nitajieni mchezaji mwengine ambaye asipokuwepo hatushindi?

Hapa Watu Wanajificha tu lakini ukweli ni kwamba wanachukia na Salah ila hawaitangazi.

Tumemkosa VVD - Tunashinda lakini hajadiliwi

Tulimkosa MANE - Tulishinda lakini hakujadiliwa

Tumemkosa FABINHO - Tunashinda lakini hajadiliwi

Tumemkosa HENDERSON - Tunashinda lakini hajadiliwi

Tumemkosa TAA - Tunashinda lakini hajadiliwi

ila kukosekana Salah game 1 tu imeshakuwa mjadala why?

Kama kushinda ndiyo mchezaji sio pengo kwanini na hao wengine tusiseme kuwa sio pengo?

According to maelezo yenu! "LIVERPOOL HAINA MCHEZAJI ANAYEWEZA KUACHA PENGO PENGO WAKATI ASIPOKUEPO".

Tusimuandame Salah tu bali kuna wengi kwenye kikosi hatunao na tunashinda! Juzi tungefungwa tu basi kuna kundi lingeibuka hapa kusema tumefungwa kwasababu hakucheza Henderson! Lakini wakati Tumeshinda halisemi kuwa Tumeshinda wakati hakucheza Henderson! Bali wamemgeuzia kibao Salah.

Hivi ndani ya Liverpool munasahau kama Salah ndiyo Superstar wetu kuliko mchezaji yoyote yule na haijalishi anacheza vipi?

Hebu weka Sokoni wachezaji wote wa Liverpool uone kama kuna mchezaji atakayemkaribia Salah.
Mimi natangaza namchukia Salah kwa tabia ya kujipenda yeye kwanzakabla ya tim.
Naamini kwa uwezo wake akiutumia ki tim tutafanikia kirahisi zaidi ya hivi.

Muangalie wa kabla ya kua mfungaji na sasa hivi.

Sijasema hafai ila natamani awe anakaa benchi walau dakika 30 kila mechi
 
Tena Bobby ni Striker kibongobongo tunamwita Namba 9 leo hii tunaambiwa kufunga ni Ziada lakini Salah ambaye ni Winger analaumiwa kwa kuto kufunga.
Haki ya nani hichi kizazi Sishangai Mdee kuanza urafiki na Mashinji.
Mwaka gani aliwahi kua mfungaji?
 
Mimi natangaza namchukia Salah kwa tabia ya kujipenda yeye kwanzakabla ya tim.
Naamini kwa uwezo wake akiutumia ki tim tutafanikia kirahisi zaidi ya hivi.

Muangalie wa kabla ya kua mfungaji na sasa hivi.

Sijasema hafai ila natamani awe anakaa benchi walau dakika 30 kila mechi
Unaweza kutupatia assist alizonazo Salah?
 
Kwa line up ya leo, sina tumaini kabisa
Najiuliza why Fabinho, Jota waanzie sub!?
 
Lazima ucheke mana uwazavyo sivyo niwazavyo.
Sio kwa vile kavishwa namba 9 unajiaminisha ni straika hapana mpira ni mbinu mzee huyo hajawai kua mfungaji ndugu.
Naamin Utakuwa umewahi kucheza mpira au labd unacheza kwa sasa maana sijui umri wako. Unafahamu Kwamba Joel matip anapokuwa kwenye 18 ya adui hatumuhesabii Kwamba ni beki??? Ukilijua Hili nitaendelea vizuri kukuelewesha kuhusu firmino
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom