Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jordan Henderson, scored a goal at Anfield for the first time since 2015 (4 STRAIGHT YEARS), but, as always watu wamesahau how shit he is, baada ya lile goal, ambalo ilikuwa ni lazma ajiongeze kufunga baada ya kusababisha goal la Spurs dakika za mwazo kabisa za mchezo (first half), alinyang'anywa mpira baada ya kuwa pressed, then wakati anaenda ku-track back, ended up got turned like a headless chicken na Son, kabla ya goal la Kane.

he was so so so useless in the first half, and below average in the 2nd half, but apparently kuna baadhi ya wachezaji wakifunga goal, ubovu wao wote unaondolewa. Salah kila siku anafunga magoal, but bado watu wanakosoa perfomances zake uwanjani, but Henderson kafunga goal, and he's hailed as a Captain material. Top reds never learns.

and, the sad part is, lile goal ndiyo limempatia free-pass ya kuanza kwenye games zote zilizobakia mpaka December.


We got punished dakika za awali, because of his blunder, we got lucky because Spurs are shit now, kama ndiyo ingekuwa City, tungekuwa tunaongea mingine now.

We should not allow any form of errors kama tunataka kushinda PL this season. if that blunder ingekuwa ni away from Anfield, against any top/organized side, then game ingekuwa imeshaisha.
The bummest Captain was even a contender for the MOTM of the day lol dude one hell of a lucky guy..

Against Spurs we were a bit lucky I would say they created good chances and their keeper kept them in the game and after they scored early they had a believe they might hurt us like that 4 1 game... If you noticed they utilised Lovren weakness of being damn poor on the air its like Kane won all the headers that came his way 1st 40 minutes or so...

ALLISON positioning is world class I would say he won us that game in a way...

Hendo scoring means now Klopp has got an added bonus of selecting him and leaving our Prince Keita and Shinning Chambo on the bench damn we are so so screwed expecting cz Hendo and Lovren will cost us soon again..

Iove Klopp as a pure scarce breed of a Manager but his selections at times is like planned by pure Reds and Echo or the Mirror..

On another game vs Spurs when they are clinical we are so so done they hit the woodwork twice etc..

Vs Citi we play like we did and damn we are screwed like crazy..

4 years without scoring at Kops is a shame for the guy... Shaqir who plays rarely is way better with scoring and creating chances...

This high line defensive is exposing us and Klopp won't abandon cz that the only way to have our LB and RB up there to go create chances.. That happens cz Mids of Hendo and Gini is so so pedestrians...

Litmus test vs Citi, Everton on the horizons..
 
IMG_6660.JPG
 
No,
Big NO...
japo ni kweli Kroenke ana shida zake ila huyu Unai hafai kuwa kocha wa Arsenal labda Yanga...

Wenger alikuwa na huyu Kroenke ila timu ilikuwa inafanya poa kuliko alivyokuja huyu mduanzi....

Tatizo la mtu alieshiba hakumbuki jana alikuwa na njaa, tatizo la mtu alie na njaa hakumbuki jana alikuwa kashiba
 
Niwe mkweli, nimeanza kuishabikia Liverpool kwasababu ya huyo jamaa baada ya kumuona World Cup 2002, hapo nilishamaliza form 6 nasubiri ku join chuo ndo nikaanza kufuatilia mpira wa Ulaya

It was the moment you entered in a tunnel you cannot escape
 
NABY KEITA AND CREATIVITY.

Naby Keita is largely viewed as a DLP (deep lying MF), who can play from the left/right side of the pitch, but he excels more akicheza deep kwenye double pivot yenye progressive power. he tries to emulate Zidane/Iniesta in his game.

The myth round Keita is, he cant defend/press thats why he cant get ahead of Hendo/Gini in the FX1, this myth is just stupid and lacks legs, for the past 8-9 years, LFC fans wamekuwa wakishuhudia brainless/workhorses MF ambayo main attribute yao ni kucove the groud kwa ku-press like headless chicken, hence ilichukua muda sana kwa baadhi ya fans kuelewa game-play ya Fabinho, and now inachukua watu muda mrefu kuelewa aina ya uchezaji wa Keita. (which is understandable),

When, at Dortmund, Klopp's main formation was 4-2-3-1, which included one DM and two ball playing technicians in the MF (Sahin and later Gundogan), then he had a complete AM (Kagawa/Gotze etc) behind his number 9. Klopp hajawahi ku-field in his team at Dortmund bila ya a complete number 10, but alivyokuja LFC, alikuta Club in a very bad shape, the only ball playing MFs walikuwa ni Emre Can na Mr. Joe Allen, and a complete number 10, Phillipe Coutinho, so quickly upon his arrival he tried to build the team around Coutinho, and because we were lacking creativity from the MF, he tried to play PC as an 8, and akajaribu kuingia sokoni kujaribu kutafuta attacking minded player mwingine, ambapo Alex texeira akaonekana anafaa, but deal ilivunjika baada ya kuonekana ni too pricey, so from there Klopp tried to find a way ili kubalance defense na attack kwenye MF, as Coutinho was good at 8 but hakuwa mwepesi kwenye ku-press, so akajaribu kutengeneza a defensive minded MF ambayo itampa uhuru zaidi Coutinho katika ku-operate (kama Barca wanavyofanya kwa Messi), so he went in and sign Wijnaldum, kwa kutumia records zake za kombe la dunia 2014 ambapo LVG alikuwa anamchezesha kama 2nd holding MF, so alivyokuja LFC role yake ikawa ni hiyo, 2nd holding MF. but kwa bahati mbaya Coutinho akaondoka LFC, so again tukabaki tena bila a complete AM, so we had no any creativity kutoka kwenye eneo la MF zaidi ya Emre Can ambaye alikuwa anajitahidi kusaidia katika creativity kwa kiasi, baadae nae akaondoka, so from here tukawa hatuna a single AM/attackimg minded CM, so Klopp decided to bid for Keita, but result ikawa ni kusubiri msimu mzima mpaka aje, so we had to find a good cover (a long term cover pia) ambapo tukampata OX, yote hii ilikuwa ni ku-add creativity kwenye MF, then after a good run, OX got injured. knowing that we already have Keita kwa msimu utakaofatia na OX atapona pia, Klopp hakuona tena sababu ya kununua an attacking minded CM tena, and he decided to go for a complete number 10, Fekir ambapo signing yake ilifail and we decided to settle for Shaqiri, so kwa mtiriko huo ilimfanya Klopp aje na mfumo ambao utablance defensive game yetu na attacking game yetu kwa wakati mmoja bila ya kuwa na AM/DLP, hence the birth of TRENT-ANDY attacking combination, which requires one DM to protect the last line (Fabinho), 2nd DM to restrict pressing patterns za oppotents na kuruhusu our FBs to move forward at will (Gini), and 3rd MF to control the half-spaces in advanced areas na kuconnect the ball from MF to Firimino ili kuruhusu attacking spaces kwa mane/salah na njia za kupokea mipira/crosses from our FBs, but it seems the one who is connecting the ball from MF ro Bobby ni Fabinho (Man, i wish ningekuwa nadanganya but kwa evidence zaidi sikilizeni presser ya Klopp ya jana aliyomuita Fabinho, Dyson), so kwa hali hii inafanya Fabinho awe na kazi ya MF wawili kwa wakati mmoja (defend the spaces/covering the back 5/progressing the ball & connect the ball kwa Bobby), na kama ana-defend spaces, whats the point ya mtu anaye restrict pressing patterns? maana kama unafanya kazi nzuri ya kurestrict pressing patterns kwanini number 6 wako awe na kazi ya kudefend open spaces? so inshort Fabinho anafanya kazi ya 3 MFs at the age 26, akiendelea hivi he will decline kabla hajafika 30, he needs good MFs wanaojua majukumu yao uwanjani, and we should give a lot of props to our FBs, they're doing a great job, having to attacking and defend at the same time without a good cover is not a joke, atleast Andy anapata backup ya VVD/Mane na Gini (siku hizi nimeona watu wanamuita Ghost), but Trent hana backup ya maana, as Matip is out, and Salah siyo mtu wa ku-track back and on top of that yupo Captain.

Looking back at that Genk game, Keita/OX walifanya kazi yao vizuri, shaping our attacking patterns and create a solid pattern katika kudefend, Keita who was close in a false-pivot with Faby, helped in closing down Genk phases/pressing patterns and moving the balls into good spaces which helped us to pin the entire Genk MF down, Berge started to use long/diagnal ball to Samatta and other wingers, as he had a little room to operate in the MF, because tulivyofanikiwa kuclose down their phases, Faby found himself playing most in an advanced line, with VVD/Lovren receiving the balls out of the D zone, hence it was easy to design our attacks from the MF and play the entire MF bila kutoka jasho sana, mpaka kupelekea Lovren kuwa comfortable na kupelekea kufungisha goal kwa kutaka kujifanya anaweza kudribble.

So, star wa game ya Genk alikuwa OX, kwa zile 2 good goals, but the main man in the MF was Keita, and we need to see his influence in the 2nd goal, and understand the brain behind football.

So here you have, Keita with the ball, he has like 4-5 options za pass, ya kwanza angeweza kutoa a simple pass kwa Fabinho aliyekuwa pembeni yake, au kama MFs wetu walivyo angempa Mane Pass hapo ili apambane na hali yake, au angetoa a long ball kwa Robertson kule juu, au angepiga pass ya kutoa lawama kwa OX aliyekuwa akimface, au angeturn na kupiga pass kwa VVD/lovren, but he saw Firmino there, NOT A SINGLE GENK player aliyekuwa anafikiria kuwa angepass mpira kwa Firmino, not even other LFC players walikuwa wanafikiria hivyo, hence Faby/Robertson and even OX walikuwa wanaomba awapasie, but yeye alimuona Firmino, na pia aliona open space ya OX mbele ya low block ya Genk, so angeweza kumpasia Robertson kwaajili ya traditional hoof and hope crosses (ambazo tunaziita chances). but he saw Bobby in a very tight angle.
View attachment 1248176

So why did he pass to Bobby aliyekuwa kwenye very tight angle? was he stupid?

No, kama nilivyosema earlier, alishaona space kwa OX, ambaye at this time sidhani hata kama yeye mwenyewe aliliona hilo, because anae alikuwa anataka kupasiwa. so here Naby trusted Firmino ability to hold (he's a techinician), and akampasia Bobby mpira, and as soon alimvyompasia Bobby, low block yote ya Genk ikawa inamfata Bobby, na kumwachia a huge space OX, ambayo Bobby aliona hilo na kumpa mpira fasta, ambapo OX hakufanya makosa
View attachment 1248186

So, y'all can tell, MF yetu ipi inaweza kuwa na vision kama hii? do you Henderson angeweza hata kumuona Bobby hapo? do you think Gini angekuwa na guts za kumpasia Bobby hapo? tunaposema creativity from the MF, tunamaanisha hivi, ni vision na brain ya ku-exploit open spaces na kutengeneza big chances za magoal. ni mambo kama haya ndiyo yanayofanya tuone kina Zidane/Iniesta/Xavi/Alonso etc kama legendary CMs.


Our team is very good, because we're winning a LOT of games, but imagine kama tungekuwa na good MFs around Faby? sometimes you dont have to chase games, because siyo kila game utatota behind na kushinda, Yes hakuna shabiki yeyote mwenye akili timamu anaeweza kulalamika kupata draw at OT, but uwezo wa kuwafunga UTD tulikuwa nao mkubwa sana, na kama tutashindwa kupata matokeo mazuri against City at Anfield, draw yetu na Utd at OT inaweza kuwa sababu kubwa ya kuamua title kufikia May, so we need to be perfect, we dont need to invite pressure because wote tunajua kuwa team na mashabiki wa LFC huwa hatuwezi ku-deal na pressure, ubora wetu katika game ya City utategemea zaidi matokeo yetu na Aston Villa, kama tukishindwa kupata matokeo at Villa, then pressure at Anfield dhidi ya City itakuwa kubwa sana, we just need to be perfect. hakuna muda mzuri wa kushinda title kama msimu huu.
Keita kwnye game ya Man U na Genk was superb nadhani soon ataanza kuaanza..
 
Yani kila Corner naona Sifa za Mr. Stabilizer zimetawala kwa kuwafunga goli Spurs

Kina Gini waliofunga Magoli yaliyotupatia CL sikuwahi kuona Makala popote za kuwasifia.

Yani goli 1 la Stabilizer ni bora kuliko Magoli yote ya Salah, Bobby na Mane waliyoifungia Liverpool.

Yani yale Magoli Origi aliyowafunga Barcelona angeyafunga Stabilizer nadhani Scoursers wangelimuomba Malkia wa Uengereza amtambue Kuwa ni Sir Jordan Henderson
 
Yani kila Corner naona Sifa za Mr. Stabilizer zimetawala kwa kuwafunga goli Spurs

Kina Gini waliofunga Magoli yaliyotupatia CL sikuwahi kuona Makala popote za kuwasifia.

Yani goli 1 la Stabilizer ni bora kuliko Magoli yote ya Salah, Bobby na Mane waliyoifungia Liverpool.

Yani yale Magoli Origi aliyowafunga Barcelona angeyafunga Stabilizer nadhani Scoursers wangelimuomba Malkia wa Uengereza amtambue Kuwa ni Sir Jordan Henderson
Na Sanamu ajengewe kabisa.

Henderson ni mzuri ila awe third choice 1st hapana. 2nd no but atleast.
Ni vile tunashinda na weeeengi tunaangalia mpira wa magoli ndio sababu Hendo ataonekana hakosei,.ila tukiangalia nyuma ya mpira wa magoli pekee utagundua Hendo. anaislow team ikiwa kwenye mhemko wa kushambulia.

Kiwango cha Faby sio ukomo wake ni vile hana timamu wa kusaidia kwenye Mid. Ox at his best Keita mzima miguuni plus faby, tutatengeneza magoli mengi sababu front three hawatashuka deep kuitafuta mipira.

Labda Anaona Ila anawaogopa brexit wakimuattack.
 
No,
Big NO...
japo ni kweli Kroenke ana shida zake ila huyu Unai hafai kuwa kocha wa Arsenal labda Yanga...

Wenger alikuwa na huyu Kroenke ila timu ilikuwa inafanya poa kuliko alivyokuja huyu mduanzi....
Arsenal wapo very soft wanacheza soft hata Liverpool ya daglish haikufikia huku. Hii yote kwa mimi, ni Emery inamuangukia.

Alafu ni kama emery hana target wala project yoyote, anacheza ni kama sababu yupo kwenye ligi au anakamilisha ratiba tu.

mf. yule kinda Saka binafsi kwa mbaali namuelewa na wengine anaonyesha hamasa na yule martnell (kama sijakosea jina) ila system ya emery inawavuta chini.
 
New estimates have revealed that Liverpool are the top football club earners from YouTube with over $650,000 made every month.

Here's a full list of the Top 20 highest-earning football channels on YouTube.

1: Sky Sports Football - $1,060,192

2: F2Freestylers - $716,157

3: Liverpool FC - $663,940

4: FIFATV - $503,870

5: FC Barcelona - $415,552

6: Manchester City - $222,689

7: Chelsea - $186,146

8: Arsenal - 169,317

9: The True Geordie - $165,305

10: UEFA - $128,033

11: Paris Saint-Germain - $121,316

12: Real Madrid - $85,880

13: Football Daily - $82,516

14: Juventus - $79,652

15: WeSpeakFootball - $62,200

16: HeilRJ Football Channel - $57,920

17: COPA90 - $39,627

18: talkSPORT - $20,360

19: Slash Football - $9,190

20: The Football Republic - $8,752




Tunazidi kuimarika kibiashara na kutengeneza Brand itakayokuwa kubwa kuliko Timu yeyote ile Duniani.

Wale Watani wetu wa Kaskazini Magharibi wanaoendelea kujisifia Brand kubwa wamejisahau kuwa taratibu wanaendelea kupotea kwani hata 20 bora wameshatoka.
 
New estimates have revealed that Liverpool are the top football club earners from YouTube with over $650,000 made every month.

Here's a full list of the Top 20 highest-earning football channels on YouTube.

1: Sky Sports Football - $1,060,192

2: F2Freestylers - $716,157

3: Liverpool FC - $663,940

4: FIFATV - $503,870

5: FC Barcelona - $415,552

6: Manchester City - $222,689

7: Chelsea - $186,146

8: Arsenal - 169,317

9: The True Geordie - $165,305

10: UEFA - $128,033

11: Paris Saint-Germain - $121,316

12: Real Madrid - $85,880

13: Football Daily - $82,516

14: Juventus - $79,652

15: WeSpeakFootball - $62,200

16: HeilRJ Football Channel - $57,920

17: COPA90 - $39,627

18: talkSPORT - $20,360

19: Slash Football - $9,190

20: The Football Republic - $8,752




Tunazidi kuimarika kibiashara na kutengeneza Brand itakayokuwa kubwa kuliko Timu yeyote ile Duniani.

Wale Watani wetu wa Kaskazini Magharibi wanaoendelea kujisifia Brand kubwa wamejisahau kuwa taratibu wanaendelea kupotea kwani hata 20 bora wameshatoka.
They dont see that.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom