OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Uyu Sadio Mane anatumikishwa tu apo Liverpool ..kwa kiwango chake awezi lipwa iyo ela.
Uyu Sadio Mane anatumikishwa tu apo Liverpool ..kwa kiwango chake awezi lipwa iyo ela.
Anfield ndo itawafunga arsenal leo
Fresh tu wajomba wapige kazi, wale wapumzike
Niwe mkweli, nimeanza kuishabikia Liverpool kwasababu ya huyo jamaa baada ya kumuona World Cup 2002, hapo nilishamaliza form 6 nasubiri ku join chuo ndo nikaanza kufuatilia mpira wa Ulaya
Hiyo ndio faida ya kukataa kufanya usajili.Safu ya ulinzi leo, dah,![]()
Tunavunjiwa rekodi yetu ya unbeaten anfield kisengesenge!!