Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Leo jogoo anaruka ruka tu uwanjan















Adrian yupo kilichowafanya wampange huyo dogo nini kuna vitu ni vya kujitakia tu.Huyu keeper awe part ya substitution yuko under pressure for sure
Klopp huwa anazingua sana aniii... Yule mzeeAdrian yupo kilichowafanya wampange huyo dogo nini kuna vitu ni vya kujitakia tu.



Ni ishara Klopp hana mpango na hili Kombe..Adrian yupo kilichowafanya wampange huyo dogo nini kuna vitu ni vya kujitakia tu.
Lallana sijui sasa analalamikaga kukosa namba na Leo ni kama yupo mazoezini..Klopp huwa anazingua sana aniii... Yule mzee![]()
Hahaha lallana and his useless turns kila saa.. jamaa anapenda show game kila saaHawa wenye experience ndio wanatuangusha leo. Keita, Milner, Lallana n.k...Ox pekee ndio yuko serious
KEITA KEITA KEITA huyu jamaa sijui ana matatizo gani.Hawa wenye experience ndio wanatuangusha leo. Keita, Milner, Lallana n.k...Ox pekee ndio yuko serious
KEITA KEITA KEITA huyu jamaa sijui ana matatizo gani.
Football basics lacking from our seniors they are losing positions, losing balls, lack creativity, damn poor selection from Klopp..Hawa wenye experience ndio wanatuangusha leo. Keita, Milner, Lallana n.k...Ox pekee ndio yuko serious