Mkuu
MosDef
Nimeona unampa-back up kubwa klopp na kuilaumu FSG moja kwa moja kuhusu sell & buy ... lakini unasahau kama klopp si mfuasi wa big deal buy kama si kelele za watu am 98% VDK asingemnunua.
Sijapata the best report kuhusu cou lakini huyu dogo pia ali-force move mwenyewe - no one to blame here
Sawa FSG wako after money let them play a business ni kosa kubwa kwetu wapenda trophy. As you say kuwa hakuna player asiyependa kucheza na world class player, unazikumbuka kauli za klopp alishasema 'hataki mchezaji anaye-jump over a speed train, wote waanze from zero to there' so mchezaji gani mzuri anayetaka kujikongoja from the scratch?
FSG & Klopp should be blamed for 100% for every mistake of our club
Let them go, let us buy our mediocre, beat top 6,compete top 4, & wait another season