Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
All in all japo Liverpool ku draw haikua mahesabu yetu ila kwa refa wa leo hatuna jinsi Zaidi ya ku share points..YNWA
Poleni jamani ushindi ulikuwa wenu
Kumbuka Kuwa Nyinyi Mulipoteza Kwa Huyuhuyu.
Hii Ni Picha tu! Lakini Ukiangalia Video Hata Mara Mia Moja basi Utaona Wazi Kuwa VVD alinyanyua Mguu na Kuurudisha Bila ya Kumgusa jamaa! Hatimae jamaa Kajiangusha na Lines man Katoa Adhabu.
Lakini Yote in Yote Mpira Umekwisha na Ni Sare.
Kumbuka Kuwa Nyinyi Mulipoteza Kwa Huyuhuyu.
umeangalia mpira acha upinzani wakiboya
Barca wana deulafeu hata evarton alikua anakosa namba
Kama vile karius kaimprove mechi ya leo
am impressed kwa kweli i hope n wish hii confidence ya leo iedelee kwenye mechi zote...amekaribu mnoKama vile karius kaimprove mechi ya leo
So what? Licha ya kupoteza but bado we are 5 pts mbele yako.
Hapana mkuu
Kila mchezaji wa Barca ni BORA sana!
Ukizixhanganya Barca vs Liverpool HAMNA mchezaji yyt wa Liverpool ataingia first 11
Mtazamo wa ajabu kweli kweli!!
Yaah refa kakosea andiko la ukomavu kabisa hili poleni sana ndugu zetu.Mechi imeisha
Refa Moss kakosea lkn nae ni binadam!
Liverpool tumepata point 1 muhimu
nimewaangalia barca mechi hizi 5 za mwisho ikiwemo ya jana na espanyo, kiukweli nimewatamani sana. Naomba robo fainal tukutane nao tuwaonyeshe. Wachezaji wao wengi ni average player af ni kama wana fatique hata chelsea wakidhamiria wanawatoaMbona mascherano,suarez Na saizi phillipe wote hao walitoka Liverpool wapo na walikuepo kwenye first 11, huondio mfano mzuri.pique alikuwa manchester akukubalika (kakosa namba) akaenda barca akaoneka anafaa
Tatizo mashabiki wa barca mnazidisha mapenzi na timu yenu kisa hamjafungwa tu kwenye ligi.
Misimu miwili mfululizo mmeshindwa kutamba uefa mmetolewa na timu ambazo mnasema awana wachezaji wa kuingia first 11 yenu.
Hapo hapo mnanunua wachezaji watimu mnaziita hazina wachezaji wa kucheza first 11 ya barca.
Mkuu mara ya mwisho Liverpool vs barca barca alikula nne bila barca walikuwa full kikosi(MSN).walitandikwa na hao hao unasema eti hawawezi kuingia first 11 ya barca.
Mbona mascherano,suarez Na saizi phillipe wote hao walitoka Liverpool wapo na walikuepo kwenye first 11, huondio mfano mzuri.pique alikuwa manchester akukubalika (kakosa namba) akaenda barca akaoneka anafaa