Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tuna mechi.muhimu weeknd vs tottenham na ile mechi tayari 3-0 so why mtu aje aumie kizembe. Mtaanza tena kulia why kamuacha na wakati tushashinda. Atamfikia tu huyo Kane na atampita
Suala la kuumia halina muda maalum kama kacheza DKK 75 hajaumia kwanin aje aumie dakika ya 80?, angeweza kuumia hata dakika ya 20 na anaweza kuumia hata mazoezini kabla ya gemu ya Tottenham make mara kadhaa zimeripotiwa injuries mazoezini
 
Hakuna team isiyo uza hapa duniani ikija bei nzuri!
Barca wamemuuza Neymar ndiyo awe Coutihno!
Miaka mitano ktk Liverpool Coutihno katupa nn?
Klopp anajua kuliko sisi wote hapa combined

You're so gutless at times. its sickening.

so unafananisha setup ya Messi's Barca na Liverpool? for the last 10 years Barca wameshinda makombe zaidi ya 20. LFC ina miaka 28 bila PL, miaka 13 bila UCL, miaka 12 bila FA, miaka 7 bila mickymouse cup. so club gani hapo inaweza kuuza mchezaji bila kuathiri maendeleo yake?

and btw, umewahi kusikia lini Barca wanaentartein suala la kuwauza Messi/Iniesta/Busquets (ambao ndo backbone ya team?) and also it took them miezi mingapi wao kumreplace neymar na kina Dembele na Coutinho?

by the way Messi is barca's most important player. and to this point they have done everything they can to keep him.
 
Coutinho hasnt won us anything in 5 years.

so Messi and Ronaldo wameshinda makombe yote yale peke yao bila ya msaada wa top class and world class players wanaowazunguka kwenye teams zao.

the same will be said baada ya salah/mane/firmino kuondoka, because apparently watu wanategeme they will win us trophies playing with Mignolet/Lovren/Milner/Henderson/Lallana/Ings/Solanke/Bogdan/Flanagan/Klavan etc.
 
Mm nashangilia 3-0 ya jana mkuu!
Coutihno was not so called MOST IMPORTANT player kwa Liverpool,mwaka jana kaumia kakosa mechi kibao team ikafuzu CL
 
Hadi Matheu alikuwa anacheza mechi hadi classico kule Barca!
Trash Danilo alikuwa anapata games kibao Madrid,hamna team duniani ambayo wachezaji wote ni super!
Klopp anaanza kuchukua makombe na wachezaji hawa hawa
 
lol Coutinho helped us secure top four last season for scoring most important goals in the last 5 matches.

you seem to forget kuwa we got top four kwa kushinda game yetu ya mwisho, game ambayo Coutinho scored an important goal aswell.

try to be reasonable sometimes.
 
Hadi Matheu alikuwa anacheza mechi hadi classico kule Barca!
Trash Danilo alikuwa anapata games kibao Madrid,hamna team duniani ambayo wachezaji wote ni super!
Klopp anaanza kuchukua makombe na wachezaji hawa hawa
Unamaanisha hakuna timu isiyokuwa na Average player kwenye Starting 11 yake na hata kwenye Squad yake
 
Coutinho hasnt won us anything in 5 years.

so Messi and Ronaldo wameshinda makombe yote yale peke yao bila ya msaada wa top class and world class players wanaowazunguka kwenye teams zao.

the same will be said baada ya salah/mane/firmino kuondoka, because apparently watu wanategeme they will win us trophies playing with Mignolet/Lovren/Milner/Henderson/Lallana/Ings/Solanke/Bogdan/Flanagan/Klavan etc.

Tunge shinda vipi makombe na wakati kwenye final alikuwa anakosa penati au alikuwa anataka hizo penati ashinde moreno yeye ndio anyakue kombe?
 
Hadi Matheu alikuwa anacheza mechi hadi classico kule Barca!
Trash Danilo alikuwa anapata games kibao Madrid,hamna team duniani ambayo wachezaji wote ni super!
Klopp anaanza kuchukua makombe na wachezaji hawa hawa

Barcelona have players like Ter stegen/Pique/Umtiti/Alba/Semedo/Digne/Sergi roberto/Burgos/Iniesta/Raktic/Messi/Suarez/Alcacer/Dembouz etc. players wote niliowataja hapo bar Alcacer wakija LFC ni first teamers. and btw lfc dont have a good squad players kama Mathieu/Douglas/Vermelen/Dennis suarez.

and Danilo is a good LB, thats why madrid signed him over Moreno. floped at Madrid but he's at man city now winning his first PL.
 
unategemea klopp atachukua kombe gani sasaa
 
Nimekuelewa mkuu
 
Tunge shinda vipi makombe na wakati kwenye final alikuwa anakosa penati au alikuwa anataka hizo penati ashinde moreno yeye ndio anyakue kombe?

so missing Penalties ni kosa?

Gerard slipped and costed us a PL title. did you blame him for that?
 
Barcelona have players like Ter stegen/Pique/Umtiti/Alba/Semedo/Digne/Sergi roberto/Burgos/Iniesta/Raktic/Messi/Suarez/Alcacer/Dembouz etc. players wote niliowataja hapo bar Alcacer wakija LFC ni first teamers. and btw lfc dont have a good squad players kama Mathieu/Douglas/Vermelen/Dennis suarez.

and Danilo is a good LB, thats why madrid signed him over Moreno. floped at Madrid but he's at man city now winning his first PL.

SIO kWELI kama ulio wataja hapo wakija Liverpool wataanza kwa Liverpool
Mbele Barca wakija Liverpool anaanza Messi tu,aged Suarez hawezi muweka nje yyt Liverpool labda achezee jina lake sio perfomance wise
Na sio kweli kuwa kila mchezaji anaysajiliwa na Madrid ni mzuri,Danilo ni squad player Man City hata Zancheko kamshinda ktk picking order
 
unategemea klopp atachukua kombe gani sasaa

Mkuu soka ni matayarisho ya muda mrefu sana na sasa Klopp anatayarisha team!
Madrid wamechukua Champion League mara ya mwisho mwaka 2001 na wakakaa bila kombe lolote la Ulaya kwa miaka 12!!
Walipo rudi ktk mstari na kujipanga wakachukua 2013
Mnasahau haraka sana!
 
Unamaanisha hakuna timu isiyokuwa na Average player kwenye Starting 11 yake na hata kwenye Squad yake

Ndiyo anavyo maanisha yy sio MM!
Kuna avarage kibao Barca na Madrid
Hamna teams ambayo wote wachezaji ni stars!
 
akiacha kiburi na upendeleo usio na tija ni kocha bora mkuu na ningependa aedelee kubaki miaka mingi..
ila sasa akikosolewa akumbali sio kuleta kiburi..idara ya ulinzi ukianzia kwa golkipa ndio udhaifu wetu na Klopp hii ni dirisha lake la usajili la nne na bado hajalipa kipaumbele ipasavyo...
timu imara lazima iwe na kipa imara asifungwa magoli ya kizembe kama hawa tulionao..

Mkuu klopp ni bonge la kocha,swala la goli kipa kuwa ni tatizo lilionekana wakati klopp amekuja tu alisajili kipa Baada ya msimu kuisha .msimu uliofata ikaonekana beki mbovu maana beki zilikuwa zinachomesha sana kipa wakaonekana wao sio tatizo sana ,msimu wa 2017/2018 plan zilikuwa beki nyuma mbovu sio kipa tumerekebisha robertson na vvd ila clyn imetokea ameumia msimu wote angekuepo angesaidia sana,Sasa hivi tena katikati ya msimu goli kipa wote wanaonekana wabovu hakuna hafadhali yaani ukilenga goli tu kipa hawezi kudaka,yaani kipa hawana msaada kwenye timu.ilo swala la kipa tusubiri msimu mpaka uishe watasajili tu kipa mpya ila katikati ya msimu nadhani aikuwa kwenye plan ya msimu huu,japo makipa wanajionesha kabisa wabovu.
 
last season, after a dip in form ile january, we dropped a lot of points, ambapo mpaka kufika may tulikuwa only 1 point ahead of Arsenal. ambapo tulitakiwa kushinda game zetu zote mbili za mwisho (west ham away na Middlesborough at home) ili kuingia top four.

remember tulikuwa hatujashinda our last 4-5 games against west ham na this time tulitakiwa tushinde kwa namna yeyote ile, na mpaka game inaanza Arsenal walikuwa wanaongoza dhidi ya stoke city so tayari walikuwa above us for 2 points. na tulienda West ham without Firmino aliyekuwa injured.

kwenye ile game Coutinho scored Two goals na kutoa Assist moja na kucontribute kwenye goal la Matip, helping us win by 4 goals and went on to do the same against borough.

this season mpaka kufikia january alikuwa kachangia 30% ya magoal yote ya LFC more than Henderson/Milner/Chamberlain/Lallana/Ings/Solanke/Wijnaldum Combined.
 
Ndiyo anavyo maanisha yy sio MM!
Kuna avarage kibao Barca na Madrid
Hamna teams ambayo wote wachezaji ni stars!

Barca/Madrid/Psg/Bayern/Man City hazina average players. zina Class players, top class players na world class players. and thats why they are rulling football world.
 
Mkuu klopp ni bonge la kocha,swala la goli kipa kuwa ni tatizo lilionekana wakati klopp amekuja tu alisajili kipa Baada ya msimu kuisha .msimu uliofata ikaonekana beki mbovu maana beki zilikuwa zinachomesha sana kipa wakaonekana wao sio tatizo sana ,msimu wa 2017/2018 plan zilikuwa beki nyuma mbovu sio kipa tumerekebisha robertson na vvd ila clyn imetokea ameumia msimu wote angekuepo angesaidia sana,Sasa hivi tena katikati ya msimu goli kipa wote wanaonekana wabovu hakuna hafadhali yaani ukilenga goli tu kipa hawezi kudaka,yaani kipa hawana msaada kwenye timu.ilo swala la kipa tusubiri msimu mpaka uishe watasajili tu kipa mpya ila katikati ya msimu nadhani aikuwa kwenye plan ya msimu huu,japo makipa wanajionesha kabisa wabovu.

Klopp wanted Allison this window, FSG hawana hela.

Clyne failed a drug test. club trying to cover that up. but i think he reconsidered again. cant see him leaving the club.

lets wait and see.
 
so missing Penalties ni kosa?

Gerard slipped and costed us a PL title. did you blame him for that?

Mkuu sio kosa kama na yeye atanyamaza kimya na sio kulala mika amekaa muda wote bila ya kombe ikiwa yeye mwenyewe ndio alisababisha,

Mfano gerard kateleza tumekosa kombe ,asiwe yeye wa kwanza kulalama kwamba nimekaa Liverpool bila kombe naondoka na wakati yeye ndio alifanya hayo yote tuka kosa kombe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom