Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo tupo uwanjani tena!
Ni matumaini ya ushindi Kwa Kila Liverpool's Fan/Supporter.

Kuna Maneno Haya aliyasema the Great Bill Shankly →→
“Liverpool Football Club exists to win trophies.”

Lakini Kwa Mujibu Wa Jürgen Klopp yeye Antuaminisha Kuwa →→“Liverpool Football Club exists to contend for Top Four
.”

Hata Hivyo Sina Mashaka Na Ubora na Uwezo Wa Ufundishaji Wa Klopp, Naamini Ni Kocha Mzuri na Sahihi Kwa Liverpool!!

Ila Ninamashaka Na Plans Zake za uendeshaji Timu...
Na Ninamashaka Na Ubora Wa Kikosi Tulichonacho Kama Kinaweza leta Ushindani Wowote kwenye EPL.

Kuhusu Champion League Sina Mashaka na Kikosi Tulichonacho Coz Kule Hakuna Burnley wala W. B. Albion.
 
Matumaini Yangu Next Window (Summer) Klopp Ataboresha Kikosi Na Kutengeneza Kikosi Cha Ushindani Kwa Kununua Wachezaji Wawili tu!

1) Goal Keeper
2) Central Attacking Midfielder (Number 8) au Natural Number 9 Wa Kuscore 30+ goals per season in all competitions
.
Hapo Tayari Tutakuwa na Timu Ya Ushindani Ya Kuweza Kupambana Popote.

Klopp Matumaini Yetu Yapo Kwako.
 
Mkuu MosDef

Nimeona unampa-back up kubwa klopp na kuilaumu FSG moja kwa moja kuhusu sell & buy ... lakini unasahau kama klopp si mfuasi wa big deal buy kama si kelele za watu am 98% VDK asingemnunua.

Sijapata the best report kuhusu cou lakini huyu dogo pia ali-force move mwenyewe - no one to blame here

Sawa FSG wako after money let them play a business ni kosa kubwa kwetu wapenda trophy. As you say kuwa hakuna player asiyependa kucheza na world class player, unazikumbuka kauli za klopp alishasema 'hataki mchezaji anaye-jump over a speed train, wote waanze from zero to there' so mchezaji gani mzuri anayetaka kujikongoja from the scratch?

FSG & Klopp should be blamed for 100% for every mistake of our club

Let them go, let us buy our mediocre, beat top 6,compete top 4, & wait another season

you're wrong about Klopp Ed..

Yes, Klopp is not a fan of "throwing money" kwenye transfer windows, but always huwa anakuwa tayari kuthrow money kwa wachezaji ambao anawahitaji na anadhania kuwa watafit vizuri kwenye mfumo wake, at Dortmund he spent over the odds for Aubameyang, Reus and Mkhitaryan, na at LFC tayari ameshaspend over the odds kwa Mane (at that time), Keita and VVD.

Klopp signed VVD siyo kwaajili ya makelele ya mashabiki, he signed kwasababu alikuwa anamuhitaji kwa nguvu zote, baada ya ile debacle ya summer na FSG kuissue a statement kuwa wamedrop interest kwa VVD, everybody thought kuwa we will go sign alternative CB, but Klopp decided to stick with Lovren/klavan/Matip huku akisubiria Southampton wabadilishe stance yao, nakumbuka kila siku tulikuwa tunamoan humu kwanini Klopp hataki kusajili CB mwingine baada ya deal ya VVD kuvunjika, so kama Klopp angekuwa anasikiliza makelele ya mashabiki angekuwa ameshasajili CB mwingine ile summer, but alisubiria na kuchukua risk ya kuendelea na kina Lovren (kumbuka kina Manolas/Sanchez/Tah/inigo Martnez etc wote walikuwa available). we've paid 57m for Keita and 75m for VVD, this shows kuwa Klopp will spend kama tu wachezaji anaowataka wanapatikana.

Tumeona Klopp akigoma kupay over the odds kwa kina Teixiera/Zielinski/Lemar etc, but amekuwa tayari kupay over the odds kwa certain players ambao ana uhitaji nao, reports zinaonesha wazi kuwa Klopp opted not to sign Lemar because of his 90m price tag as he felt bado hajawa mchezaji wa hicho kiwango, but we all know Klopp likes Pulisic na kama ikitokea Dortmund watataka hata 80m he'll want to pay it. na kwenye hii january tranfer window umeona Klopp akilalamika kuhusu Coutinho replacement na pia owners kushindwa kulipa 17m ili kumpata Keita early. hizi zote ni indicators kuwa Klopp will spend big kwa players anaowahitaji kwa nguvu zote.

and FSG are the main problem here, ile january transfer window ya 2010/2011, wengi tulimlaumu na kumchukia Torres kwa uamuzi wake wa kuondoka LFC, but hatukujua nyuma ya pazia kukoje, recent reports na interview aliyoifanya Torres mwaka jana inatoa picha halisi ya FSG, they lack ambition, na sadly they drove Torres out of the Club kwasababu ya kuwa na ambition, he wanted them to replace Mach and Alonso na kununua quality players, but kwa kuwa wanaelewa limitation zao wakaona atawasumbua sana, na hapo wakaanza kutengeneza Propaganda na kumfanya Torres aonekane m-baya and luckly chelsea had 50m in the bank for him, and although Torres aliondoka akiwa na majeruhi pale LFC, propaganda za FSG zilichangia kwa kiasi kikubwa sana kuua career yake, now hela ya Torres ilitumika kufund signing ya Suarez na players wengine, then they gave Daglish a lot of cash to spend ambapo blunder za usajili wa daglish zilisababisha mpaka Comolli afukuzwe kwasababu FSG waliona hawatopata fedha nyingi in return kwa wachezaji aina ya henderson ambao wlinunuliwa na Daglish kwa kushirikiana na Comolli, katika era ya rodgers walianza kwa kuwauza kwa bei za mbuzi kina Carrol/Downing/charlie adam/jay spearing/reina/pacheco/kuyt etc na pesa iliyopatikana hapo ndiyo ilitumika kuwanunua kina Coutinho na sturridge. later walimuuza Suarez/Agger etc ma kununa kina Lovren/Lallana/Lambert/Balotelli etc, msimu unafuata wakamuuza Sterling na kununua kina Benteke/Clyne etc, and now wamemuuza Coutinho ambapo fee yake ndo imelipia kwa VVD na Keita.

mpaka kufikia sasa takwimu zinaonesha kuwa kuanzia 2010 mpaka sasa ni LFC ndiyo inayoongoza kwa kuingiza faida kubwa sana kwa kuuza players in the transfer market. na for the last 5 years net spend yetu imekuwa ni ndogo sana, tukipitwa na clubs kama WBA, Crystal palace, Everton, Leicester city, Brighton,watford etc, kwa club kubwa kama LFC na moja ya club KUMI tajiri duniani hiki ni kichekesho sana, na nilishasema kwenye posts zangu zingine huko juu kuwa FSG dont invest their own money kwenye club, na kama BRENDAN RODGERS alivyosema kuwa FSG wana-run this club as a BUSINESS and NOT TO WIN, wenyewe kila msimu wanapata faida ya millions for selling players na kuiacha club ikiwa na net spend ndogo kuliko club kama Brighton na kuna top reds wanafikiri hii club ina uwezo wa kucompete na Man city/utd.

hii ishu ya Coutinho inatosha kabisa kukufumbua macho kuhusu FSG, kama LFC ingekuwa inashinda vikombe sidhani kama Coutinho angelazimisha kuondoka LFC, Hazard yupo Chelsea kwa muda mrefu sana, na kila siku Madrid wanabisha hodi but hana ulazima wa kuondoka kwasababu kila baada ya misimu miwili anabeba ndoo ya EPL, kwanini awe na haraka ya kuondoka? yes, klopp is building a good project but kwa resources alizonazo na sera ya FSG inamchukua muda mrefu sana, msimu wake wa tatu huu team bado haina spine, na ubaya zaidi alikuwa anaelekea kuimaliza spine ya team baada ya kununua VVD na keita, alikuwa anahitaji DM na wide attacker mmoja tu kukamilisha team, but FSG wakamuuza Coutinho na kumfanya Klopp avuruge plans zote, ambapo summer ataanza na plans mpya tena, sasa kwa mtindo huo ni mchezaji gani world class atakubali kuendelea kukaa kwenye club ambayo kila msimu inakuwa kwenye transtion?

Suala Coutinho kulazimisha move ni PR za kitoto, unatakiwa utambue kuwa hii ilikuwa ni January Transfer window, katikati ya msimu, kabla hatujamuuza Coutinho bado tulikuwa katika FA cup na bado tupo kwenye R16 ya CL na we were aiming at finishing 2nd/3rd in the league, but now it seems we'll have to fight mpaka mwisho kwaa ajili ya Top Four huku tukiombea tusipatwe na majeruhi kwa Bobby/Salah/Mane/Can. sasa kwa Club yenye ambition isingekubali kuuza mchezaji wake muhimu katika kipindi cha January huku akiwa amebakiza 4 years kwenye mkataba, tunashindwa mpaka na Leicester ambao they have nothing to play for but wameonesha stance kwa Mahrez mpaka mwisho despite kulodge in Transfer Request na kudogde game yao na Everton. FSG are running this club as a BUSINESS, hivi vitu vinavyotokea sasa vinatakiwa vikupe picha halisi ya kinachoendelea, Klopp is not like Pep or Mou, siyo mtu wa kumoan kuhusu transfers kwenye medias, unaweza ukasema ni weakness yake au ni personality yake, na ndo maana alivyochoka kuhusu policy ya Dortmund kuuza his star players alimua ku-walk kimya kimya bila kulalama kwenye media. but we need to understand kuwa we dont have Coutinho now (ambaye alikuwa anacover 2 positions at once, CAM and LW), atleast kama Coutinho akiumia, we had workhouse like Bobby to fill his gap same for Cou. but now tuna Firmino tu, sasa akiumia Bobby who will step up? Firmino is the system right now, he is the most important LFC player kwasasa. him and Coutinho were the reason why Salah settled in real quick, he's the reason why Salah and Mane get a lot of space upfront, he's the reason why Can/Henderson/Gini/Ox not necessarly obligated to press a lot high up the pitch, because Firmino huwa anaanzia kupress kuanzia kwenye opposition box. and sadly because akiumia Bobby we'll have Ings and Solanke to cover his place and here you're talking about the 9th richest club in the world. and Top reds will tell you Klopp is happy to have Ings and Solanke in the team bacause he always have good things to say about them.

"FSG run LIVERPOOL FC as a BUSINESS and not to WIN" - Brendan Rodgers, 8 feb, 2016.
 
Matumaini Yangu Next Window (Summer) Klopp Ataboresha Kikosi Na Kutengeneza Kikosi Cha Ushindani Kwa Kununua Wachezaji Wawili tu!

1) Goal Keeper
2) Central Attacking Midfielder (Number 8) au Natural Number 9 Wa Kuscore 30+ goals per season in all competitions.
Hapo Tayari Tutakuwa na Timu Ya Ushindani Ya Kuweza Kupambana Popote.

Klopp Matumaini Yetu Yapo Kwako.

Firmino has scored 19 goals and assisted 10 times mpaka sasa kwenye games 34.

We still have 4 months to go in the league and hopefully in the CL. not his fault that we're out of LC and FA cup.

we need 2nd choice ST to back Firmino, and not First Choice ST.

Number 8 ni Keita, we need a number 6 kama Can ataondoka, kama Can atabaki we'll need another box to box midfield.

wont mind if we will go for NDIDI, as a back up number 6 for Can. but kama Can akiondoka Klopp need to sign Fabinho/Diawara/Dendocker. having said that, it seems Klopp is not a fan of natural DMs, so it will make sense kama akim-sign Sergej au kurenew interest kwa Zielisnki.

we need amother CB too..
 
Our Line-Up

FXI: Karius, Alexander-Arnold, Van Dijk, Lovren, Robertson, Milner, Henderson, Can, Mane, Salah, Firmino.

Subs: Mignolet, Wijnaldum, Moreno, Oxlade-Chamberlain, Ings, Solanke, Matip.
 
na defence wamejitahidi kutokatika...hizi point 3 za leo muhimu sana maaana huyu Spurs hayupo mbali nasi
 
Second Half lazima Timu ibadilike! Timu iongeze Pace, Pressing na attacking yenye accurate pia iongezeke ili tuweze Kukill the game.
 
Refa katuua na maamuzi yake ya bovu, penati ya kwanza kaambiwa na msaidizi sio penati akabisha akatumia akili yake inavyomtuma, penati ya pili hakuona, akaona msaidizi akamwambia badala atumie akili yake km mwanzo akamkubalia msaidizi. Hapo ilibidi abalance makosa. Refa jinga kabisa
 
Kipa mapepe sana, muda wa kukaa na mpira anarusha hovyo mbele yaani... From neutral point of view tume enjoy game
 
d16e8c59bea8173df5580cc1a4e93fb9.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom