Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Ni huzuni sana hawana tena huo msaada tangu Fergie asepe.Man United inazidi kupoteza nyenzo muhimu zilizowahi kuipa mafanikio Timu yao.
- Alianza Howard Webb kustaafu
- Sasa ni Antony Taylor
Ikumbukwe hawa Watu wana mchango mkubwa sana katika era ya Ferguson kumpa mafanikio now wanaondoka mmoja mmoja.
Ni huzuni
Saint Anne njooo umuone Babu yako Le Past Captain ameula hukoo Chelsea 😃😃😃😃😃kweli hii Dunia wenye bahati wapo aisee, huyu jamaa ana aura Fulani na kismati balaa....haya all the best kwake.Mtu sio nyau😃
View attachment 3638922
Nashangaa sisi tumemchelewa Hadi amewahiwa.Saint Anne njooo umuone Babu yako Le Past Captain ameula hukoo Chelsea 😃😃😃😃😃kweli hii Dunia wenye bahati wapo aisee, huyu jamaa ana aura Fulani na kismati balaa....haya all the best kwake.
YNWA
Mimi nampenda sana Jordan HendersonMtu sio nyau😃
View attachment 3638922
😂😂😂 Uongozi my foot. Uarabuni kachemka, Ajax kachemka huo Uongozi wake unaonekana Uingereza tu 😂.....Nashangaa sisi tumemchelewa Hadi amewahiwa.
Hendo ni hazina kubwa,,ana damu ya uongozi.
😁😁😁😁😁😁Soon utasema hata Slot unampenda😃Mimi nampenda sana Jordan Henderson
Bado naamini katika uwezo wake.
Wewe sema tu unamchukia Hendo le Captain😂😂😂 Uongozi my foot. Uarabuni kachemka, Ajax kachemka huo Uongozi wake unaonekana Uingereza tu 😂.....
YNWA
Hata Dunia iumbwe mpya simtaki😁😁😁😁😁😁Soon utasema hata Slot unampenda😃
YNWA
Dah 🥹View attachment 3643361
🚨💣 BREAKING: MOHAMMED SALAH TO TRABZONSPOR, HERE WE GO! ⚪️✨
Agreement closed tonight with Trabzonspor for a 2 year deal for the Egyptian winger on a free transfer.
Salah will fly to Trabzonspor this week for medical tests and contract signing until August 2028.
DONE. 🇪🇬
Mohamed Salah atalipwa €17 milioni (takribani pauni milioni 14.5) kwa msimu baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Trabzonspor. Huu ndio mkataba wenye thamani kubwa zaidi kuwahi kutolewa katika ligi ya Uturuki.View attachment 3643361
🚨💣 BREAKING: MOHAMMED SALAH TO TRABZONSPOR, HERE WE GO! ⚪️✨
Agreement closed tonight with Trabzonspor for a 2 year deal for the Egyptian winger on a free transfer.
Salah will fly to Trabzonspor this week for medical tests and contract signing until August 2028.
DONE. 🇪🇬
Mpo very slow kwenye Transfer shida Nini?Mohamed Salah atalipwa €17 milioni (takribani pauni milioni 14.5) kwa msimu baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Trabzonspor. Huu ndio mkataba wenye thamani kubwa zaidi kuwahi kutolewa katika ligi ya Uturuki.
Mbali na mshahara wake, Salah pia atapata asilimia 20 ya mapato yatokanayo na mauzo ya jezi na bidhaa nyingine zenye jina lake, kwa mujibu wa The Times.
YNWA
[emoji3]Mbona hamsajili, EPL sio mchezo wazee hatutaki mhamie arsenal kweny mbio za ubingwa next season
Walikuwa na mpunga wa maana msimu uliopita wakasajili magarasa matokeo yake ndio hayo yaani wachezaji watatu tu tena wa kawaida wakawasajili kwa pound million 300+Mbona hamsajili, EPL sio mchezo wazee hatutaki mhamie arsenal kweny mbio za ubingwa next season
Hawa tutapiga sana msimu ujao.Walikuwa na mpunga wa maana msimu uliopita wakasajili magarasa matokeo yake ndio hayo yaani wachezaji watatu tu tena wa kawaida wakawasajili kwa pound million 300+