King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,453
Hamna kocha mule
Ni upepo wa Klop ulimuweka mjini
Unamkataa kocha wa total football?
Hamna kocha mule
Ni upepo wa Klop ulimuweka mjini
Kwangu ukinipa Gordon na Rashford wa Catalan nitamchukua Rashford wa Catalan....kuhusu wao Barca kumchukua Gordon na kumuacha Rashford inaweza kua na sababu nyingi moja yapo ni wao kuamini kuna nafasi nyingine ya kumpata kwa mkopo hivyo wakaomae na hio na ukizingatia Barcelona hawapo njema sana ki pesa sokoni.sio kwamba ni mbovu tatizo ana ego,childish,selfish na laziness anaweza kukupa furaha na akakukela vibaya mno. Wew hujiulizi kwanini Barcelona wamemchukua Anthony Gordon napia kwanini hawajataka kumchukua kabisa rashford bali wameomba tena tuwape kwa mkopo. Au wew unaona rashford ana kiwango cha kumweka benchi siio tu Gordon bali raphina.
Leteni £40m mumchukue Rashford.Kwangu ukinipa Gordon na Rashford wa Catalan nitamchukua Rashford wa Catalan....kuhusu wao Barca kumchukua Gordon na kumuacha Rashford inaweza kua na sababu nyingi moja yapo ni wao kuamini kuna nafasi nyingine ya kumpata kwa mkopo hivyo wakaomae na hio na ukizingatia Barcelona hawapo njema sana ki pesa sokoni.
Nwa muda utasema.
All the best kwa Gordon tuliwai kuonyesha nia Howe akatugomea enzi za Klopp hivyo dogo anaji uwezo na pale Catalan ni mahala sahihi kwake.
YNWA
Hapa mchezaji ni salah tu mngebakia kwenye gegen pressing angendelea kudelivery vizuri tu.Wakuu wafautao ma home boys wetu wapo bila team kwa sasa je yupo anaetufaa kuleta seniority kikosini 😂😂
1) Salah
2) Coutinho
3) Stering
4) Nathaniel
5) Danny Ings
6) Gini
7) Fabio Borini
8) Harry Wilson
10) Lazar Makorvic
11) Alberto Moreno
12) Jordon One
13) Ryan Kent
14) Shie Ojo
15)Ovie Ejaria
17) Bobby Adekanye
YNWA
Jordan Henderson – Nahodha wa Liverpool kwa miaka mingi. Alikuwa sauti ya dressing room, aliunganisha kikosi na kuongoza timu kutwaa UEFA Champions League, Premier League, FA Cup na mataji mengine. Huyu ndiye mfano halisi wa seniority.Wakuu wafautao ma home boys wetu wapo bila team kwa sasa je yupo anaetufaa kuleta seniority kikosini 😂😂
1) Salah
2) Coutinho
3) Stering
4) Nathaniel
5) Danny Ings
6) Gini
7) Fabio Borini
8) Harry Wilson
10) Lazar Makorvic
11) Alberto Moreno
12) Jordon One
13) Ryan Kent
14) Shie Ojo
15)Ovie Ejaria
17) Bobby Adekanye
YNWA
Manyanza long time comrade.Jordan Henderson – Nahodha wa Liverpool kwa miaka mingi. Alikuwa sauti ya dressing room, aliunganisha kikosi na kuongoza timu kutwaa UEFA Champions League, Premier League, FA Cup na mataji mengine. Huyu ndiye mfano halisi wa seniority.
400k plus kwa wiki ndugu yangu na hataki Wala kusikia kukaa benchi ni shinda ndugu.Hapa mchezaji ni salah tu mngebakia kwenye gegen pressing angendelea kudelivery vizuri tu.
Mkuu nipo salama kabisa natumaini na wewe hivyo hivyo. Seniority kwa Captain Hendo inamfaa sana.Manyanza long time comrade.
😀😀😀Aaa Henderson atulie alipo. Boy has attitude issues.
VVD na Allison wanatosha kuwaongoza Hawa vijana wetu
Mkuu dirisha mwaka huu ngumu na hii kombe la Dunia
YNWA
Unamkataa kocha wa total football?
Likocha limekuja limevuruga timu ,limeacha timu imeharibika, limemfukuza mchezaji mvumilivu mkongwe kama Salah huku halina hata mbadala wake.Hapa mchezaji ni salah tu mngebakia kwenye gegen pressing angendelea kudelivery vizuri tu.
Mi naunga mkono hojaJordan Henderson – Nahodha wa Liverpool kwa miaka mingi. Alikuwa sauti ya dressing room, aliunganisha kikosi na kuongoza timu kutwaa UEFA Champions League, League, FA Cup na mataji mengine. Huyu ndiye mfano halisi wa seniority.
Shida haikuwa Salah kukaa bench,400k plus kwa wiki ndugu yangu na hataki Wala kusikia kukaa benchi ni shinda ndugu.
Klabu kubwa nyingi hua mchezaji akishafika umri wa 31 anapewa mkataba wa mwaka mmoja mmoja na mkataba unakua based na performance na availability ya replacement sokoni hivyo Salah alitakiwa apigiwe bei msimu wa 2024 2025 ulivyoisha tu maana kwa mfumo wa Liverpool ingefika mahala tu Moyo unataka Mwili unashindwaa.
YNWA
Muache Slot ni bonge la Kocha kilichomshinda ni kile kiburi cha kubeba EPL akataka kujiona naye ni top akasahau kuna wachezaji pale wana influence kubwa mbele ya maboss na mashabiki. Kumbuka alikuwa na mabifu na watoto wote wa Kiingereza TAA, Elliott, Quansah na Jones.Shida haikuwa Salah kukaa bench,
Shida anakaa bench
Slot anaanza na ndugu zake anaowataka yeye, hata waboronge vipi, akina Gakpo.
Yaani yule Baba mimi sina hamu naye hata kidogo.
Wachezaji amenunua matapeli watupu🙌
Hiyo kazi ya recruitment sio ya Slot ni ya Hughes. Slot alikuwa anashughulika na masuala ya uwanjani tu na Hughes ndio alikuwa anahusika na kuuza au kununua wachezajiLikocha limekuja limevuruga timu ,limeacha timu imeharibika, limemfukuza mchezaji mvumilivu mkongwe kama Salah huku halina hata mbadala wake.
Slot alaaniwe popote alipo.
Makocha wa uholanzi mashaulini monki ni matapeli sana mie iliniumiza 10hag na bichwa lake ka fuvu la dagaa kumsajili footwork onana na kumuondoa david degea. Huku likocha halieleweki mfumo linaoutumia yaani sitamsahau.Likocha limekuja limevuruga timu ,limeacha timu imeharibika, limemfukuza mchezaji mvumilivu mkongwe kama Salah huku halina hata mbadala wake.
Slot alaaniwe popote alipo.
Sema jamaa mfumo wa slot ndio umemwaribia.400k plus kwa wiki ndugu yangu na hataki Wala kusikia kukaa benchi ni shinda ndugu.
Klabu kubwa nyingi hua mchezaji akishafika umri wa 31 anapewa mkataba wa mwaka mmoja mmoja na mkataba unakua based na performance na availability ya replacement sokoni hivyo Salah alitakiwa apigiwe bei msimu wa 2024 2025 ulivyoisha tu maana kwa mfumo wa Liverpool ingefika mahala tu Moyo unataka Mwili unashindwaa.
YNWA
Muweke Salah namba Moja pale juu