Muache Slot ni bonge la Kocha kilichomshinda ni kile kiburi cha kubeba EPL akataka kujiona naye ni top akasahau kuna wachezaji pale wana influence kubwa mbele ya maboss na mashabiki. Kumbuka alikuwa na mabifu na watoto wote wa Kiingereza TAA, Elliott, Quansah na Jones.
Quansah kosa kidogo tu alimnyanyapaa mpaka akauzwa na Elliott akatolewa kwa mkopo.
Akaanza kuleta za kuleta mpaka kwa Salah hapo ndipo wachezaji wakaamua kumsusia kabisa, akabaki Szoboszlai tu, fikiria hata Alison Becker alijifanya kuumwa alikuwa hataki kucheza chini ya Slot.