Jamaa limetutapeli pamoja na kocha wake
Jamaa limemfukuza Kocha wetu Klopp,aliyeitoa hii timu matopeni..
Likatuletea kocha tapeli amerudisha timu matopeni na amefukuza wachezaji wazalendo wote kama TAA na Mo Salah.
Walaaniwe sana Hawa matapeli.
Sasahivi hii Thread ntakuwa namsikiliza
King Ngwaba pekeyake.
Captain Marvelous sina hamu tena na stori zake alivyokuwa anampamba hilo tapeli Edwards, huku akimkandia Klopp.
Yakawaroga matajiri wakamfukuza Klopp
Wakaamini matapeli na kuwamwagia hela zote ambazo hawajawahi kumpa Klopp.