Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha kilichomfelisha Slot ni kushindwa kudhibiti dressing room tu. Usishangae siku ukamuona yupo Man City japo Enzo Maresca jana katambulishwa. Suala la Slot ni wachezaji waliamua kumgomea. Na hili jambo la dressing room MosDef alishaliandika sana humu.

The MoNA alishawahi kuandika kuhusu chokochoko za Salah. Na zile chokochoko ndio ziliharibu kabisa team, wachezaji wanaposses vizuri mpira lakini wakipokonywa walikuwa hawataki kuhangaika.
 
Basi tu ni ngumu huyo dogo kutoka United na kutua Anfield ila ana kitu aisee nilitazama mechi zake pale Catalan bado yumooo

YNWA
sio kwamba ni mbovu tatizo ana ego,childish,selfish na laziness anaweza kukupa furaha na akakukela vibaya mno. Wew hujiulizi kwanini Barcelona wamemchukua Anthony Gordon napia kwanini hawajataka kumchukua kabisa rashford bali wameomba tena tuwape kwa mkopo. Au wew unaona rashford ana kiwango cha kumweka benchi siio tu Gordon bali raphina.
 
Bora imekuja, ulipotea mno tukapata wasiwasi,,tujuliane hali aisee .

Kocha wenu ameondoka angalau tunapumua sasa aisee
Ametutesa mno

Mona mwenyewe dakika za mwisho alianza kumkataa .
Sasahivi mnamsingizia Salah sijui dressing room.
Zamani zilikuwa blah blah oh ball control sijui hataki harsh football inachosha wachezaji.
 
Ulikuwa huoni wana control mpira ila kukaba walikuwa wanazembea na mfumo wake ulikuwa unamhitaji DM kama Fabinho ? Jiulize kwanini msimu wa kwanza alianza vizuri lakini baada ya kuanza transition ya mfumo na kuanza kujifanya naye ni mkubwa lakini kumbe wachezaji walikuwa wakubwa kuliko yeye. Alianza TAA kuwa anakasirika akifanyiwa sub na kama umavyojua TAA alishakuwa World class player ikaja kwa Salah pale ndio ikaleta noma zaidi.
 
Hamna kocha mule
Ni upepo wa Klop ulimuweka mjini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…