Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Iraola ni muumini wa pressing na high intensity hivyo ni same page with Klopp modality....

YNWA
 
Timu yetu vipara hawafit kabisa
Sijui Hawa makocha kwa Nini wanapenda sana kupingana na kinachofanya vyema.... Jamaa aliona afe na tai shingoni kuliko isemkane anakwenda na mfumo wa Klopp ambao ulimpa ubingwa yaani.
Why change what's is working and delivering results πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒbure kabisa huyu Kipara na huku anasemwa Kila kukicha na bado alikomaaaa.

YNWA
 
View attachment 3601533

Mambo yanakwenda kasi sana.

Asante sana.
Kwa sasa elite managers or coaches wanatoka Uhispania, tazama Unai, Enrique, Alonso, Pep, Arteta na sooon to be Andoni⚑⚑⚑⚑

YNWA
Andoni ana soka la kasi na press ambayo ndio aina ya soka mnalochezaga but slot alizingua kutaka mcheze soka la control na pasi wakati sio identity yenu na haifit aina ya uchezaji wenu ndio maana alifeli
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺSlot msimu wa kwanza hakutaka makuu aliacha wachezaji wajina express uwanjani na bila shaka wakapambana na ubingwa...alivyoanza total Control bila kua na ballers na RB LB wapi hoi basi ndio vipigo vikaanza.

Andoni kwa kutazama tu mind set ya wachezaji pale Bono ni dhahiri tunapata jembe ingawa anatoka timu ndogo yenye mahitaji machache sana ukilinganisha na Liverpool ,yupo tayari,tupo tayari kazi inaanzaπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ⚑⚑⚑

YNWA
 
View attachment 3601526
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Iraola ni muumini wa pressing na high intensity hivyo ni same page with Klopp modality....

YNWA

Captain tulia kwanza huu uchambuzi utatuponza πŸ˜‚

Nakumbuka Slot mulitamba sana na chambuzi za kiufundi kwenye mbinu za Kipara wakati alikuwa ni Muhuni tu πŸ˜‚
 
Kama vile kpnd flan walivyotamba makocha wa kijerumani na kutikisa Dunia ukianza na Joachim Low aliebeba kombe Dunia 2014, Tuchel,Klopp wetu,Nagglesmann,Hansi Flick,juppy heynckes, Kuna makocha wawili ivi walipita dotmund kpnd klopp and Tuchel wameondoka majina Yao nimesau, mmoja aliifikisha timu fainali UEFA wakafungwa na Madrid tn Kwa bajeti ndgo type za kloop
 
B
BOno yule kipa wa Morocco? Umri umeenda kdgo yule alafu Hana footwork nzuri type za akina joe hart na de gea, ataokoa michomo lakini footwork Kwa soka la kisasa muhimu
 
Captain tulia kwanza huu uchambuzi utatuponza πŸ˜‚

Nakumbuka Slot mulitamba sana na chambuzi za kiufundi kwenye mbinu za Kipara wakati alikuwa ni Muhuni tu πŸ˜‚
Slot kanipiga za uso yaaani honestly nilimwamini sana bila shaka akatula ubingwa baada ya pale tu nikajua sasa sokoni ananua kimkakati yaani nilivyoona Diaz anauzwa taa ikawaka lakini bado nikawa na Imani nae anachokifanya anajua kumbe alikua clueless, ni dhahiri tangu twachukua ubingwa namba 6 ilikua ni tatizo, beki wa kati tatizo lakin jamaa akazama sokoni na kuleta wachezaji wakushambulia Wirtz, Izak,Ekitek yaani hao hakuna mwenye chembe ya kuzuia Hawa ni progressive passes mwishowe ndio haooo tupo hapa na kazi hana.
Nikipata muda nitapitia vyema histroria ya huyu bwana Andoni alikoanzia mpaka sasa anatua.

YNWA
 
Captain tulia kwanza huu uchambuzi utatuponza πŸ˜‚

Nakumbuka Slot mulitamba sana na chambuzi za kiufundi kwenye mbinu za Kipara wakati alikuwa ni Muhuni tu πŸ˜‚
Sina hamu mimi
Mona Manyanza
Utasikia wanasema hatujui mpira
Kocha wao akiguswa tu
Utasikia anajenga mfumo

Haya
Mfumo uko wapi Sasa, πŸ˜‚ πŸ™Œ
 
Sina hamu mimi
Mona Manyanza
Utasikia wanasema hatujui mpira
Kocha wao akiguswa tu
Utasikia anajenga mfumo

Haya
Mfumo uko wapi Sasa, πŸ˜‚ πŸ™Œ
msimu umeisha kwa ugumu sana sikutamba mbele ya washikaji zangu taambo ziliniisha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…