Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Acheni Blah blah
Kocha wenu habebeki😂😂😂😂
Hakuna anachojenga hapo
Kocha ‘habebeki’ hupimwa kwa matokeo ya muda mfupi.(Ona Xabi Alonso kikichimkuta 😀😀😀)

Kocha wa project hupimwa kwa structure, consistency na direction.
Kama ‘hakuna anachojenga’, basi eleza: pressing structure imepotea wapi
– shape ya timu imeharibika wapi
– player development imesimama wapi
Kwa sababu mpira wa Slot unaonekana kwenye: • control ya mchezo
• kupungua kwa chaos
• nidhamu ya positioning
• matumizi ya wachezaji ndani ya mfumo
Liverpool haijengi timu ya headlines, inajenga mfumo wa miaka.
Klopp hakubeba kitu mwaka wake wa kwanza pia lakini alijenga msingi.
Soka si reaction ya wiki mbili.
Ni process.
Ukisubiri ‘kubebwa’ kila dirisha, hujui maana ya project.

Hapo ndiyo tofauti ya mashabiki wa kelele na mashabiki wa kuelewa.
 
FB_IMG_1768414456007.jpg
 
🚨 𝗖𝗥𝗔𝗭𝗬 𝗙𝗔𝗖𝗧: Sadio Mané and Mo Salah have faced each other 6 times with their national teams.

Senegal and Mané have beaten Egypt 5 times:

World Cup qualifiers, continental qualifiers, AFCON semi finals and in the AFCON final.
 
Kocha ‘habebeki’ hupimwa kwa matokeo ya muda mfupi.(Ona Xabi Alonso kikichimkuta 😀😀😀)

Kocha wa project hupimwa kwa structure, consistency na direction.
Kama ‘hakuna anachojenga’, basi eleza: pressing structure imepotea wapi
– shape ya timu imeharibika wapi
– player development imesimama wapi
Kwa sababu mpira wa Slot unaonekana kwenye: • control ya mchezo
• kupungua kwa chaos
• nidhamu ya positioning
• matumizi ya wachezaji ndani ya mfumo
Liverpool haijengi timu ya headlines, inajenga mfumo wa miaka.
Klopp hakubeba kitu mwaka wake wa kwanza pia lakini alijenga msingi.
Soka si reaction ya wiki mbili.
Ni process.
Ukisubiri ‘kubebwa’ kila dirisha, hujui maana ya project.

Hapo ndiyo tofauti ya mashabiki wa kelele na mashabiki wa kuelewa.
Kama FSG wamekalili maisha kumpa kocha mda safari hii kinawaramba 🤣🤣
 
Hivi katika kutafuta beki Scout wa Liverpool hawamuoni Calvin Bassey wa Fulham?
 
Katika taaluma ya ukocha, kuna tofauti kati ya:

Outcome (matokeo)
Performance (kiwango cha uchezaji)

Timu inaweza:
kushinda bila kucheza vizuri (overperformance)
au isishinde lakini ikacheza kwa mfumo sahihi (underperformance)

Msimu uliopita Liverpool ilipata outcome kubwa (Ubingwa),
lakini kitaaluma hiyo haimaanishi kuwa:
mfumo hauhitaji kurekebishwa au kuboreshwa.
Makosa mengi ya makocha hutokea pale:
wanapoamini ushindi = mfumo mkamilifu
wakati dalili za fatigue, injuries, na sustainability tayari zipo.

Kwa nini project ilianza msimu wa pili, si wa kwanza?”
Hili ni swali la kawaida, lakini kitaaluma jibu lake ni rahisi:

Msimu wa kwanza wa kocha mpya mara nyingi hutumia mfumo uliokuwepo
sababu:

  • Wachezaji bado hawajabadilishwa
  • Mabadiliko makubwa yanaweza kuharibu momentum
  • Kocha anachunguza strengths & limits za squad

Ndiyo maana:

Slot aliruhusu timu icheze karibu na peak ya Klopp akapata ubingwa (good outcome) na akapata data kamili ya mapungufu ya mfumo huo

Project ya kweli huanza baada ya evaluation ya msimu kamili, sio kabla.

Hii ni kanuni ya Elite Coaching.

Hakuna kocha wa kiwango cha juu anayefurahia sare. Hii ni kweli....

Lakini kocha kitaaluma hujiuliza:

  • Sare ilitokana na nini?
  • Structure ilisimama?
  • Control ilikuwepo?
  • Chances conceded zilikuwa ngapi?
*
Kumbuka ukipata sare 0–0
Ukiwa na:
  • defensive stability
  • control ya midfield
  • structure imara
Hii ni foundation, sio celebration.

Mashabiki huwa tunaangalia scoreline,makocha huangalia process.

YNWA ❤️⚽
 
Katika taaluma ya ukocha, kuna tofauti kati ya:

Outcome (matokeo)
Performance (kiwango cha uchezaji)

Timu inaweza:
kushinda bila kucheza vizuri (overperformance)
au isishinde lakini ikacheza kwa mfumo sahihi (underperformance)

Msimu uliopita Liverpool ilipata outcome kubwa (Ubingwa),
lakini kitaaluma hiyo haimaanishi kuwa:
mfumo hauhitaji kurekebishwa au kuboreshwa.
Makosa mengi ya makocha hutokea pale:
wanapoamini ushindi = mfumo mkamilifu
wakati dalili za fatigue, injuries, na sustainability tayari zipo.

Kwa nini project ilianza msimu wa pili, si wa kwanza?”
Hili ni swali la kawaida, lakini kitaaluma jibu lake ni rahisi:

Msimu wa kwanza wa kocha mpya mara nyingi hutumia mfumo uliokuwepo
sababu:

  • Wachezaji bado hawajabadilishwa
  • Mabadiliko makubwa yanaweza kuharibu momentum
  • Kocha anachunguza strengths & limits za squad

Ndiyo maana:

Slot aliruhusu timu icheze karibu na peak ya Klopp akapata ubingwa (good outcome) na akapata data kamili ya mapungufu ya mfumo huo

Project ya kweli huanza baada ya evaluation ya msimu kamili, sio kabla.

Hii ni kanuni ya Elite Coaching.

Hakuna kocha wa kiwango cha juu anayefurahia sare. Hii ni kweli....

Lakini kocha kitaaluma hujiuliza:

  • Sare ilitokana na nini?
  • Structure ilisimama?
  • Control ilikuwepo?
  • Chances conceded zilikuwa ngapi?
*
Kumbuka ukipata sare 0–0
Ukiwa na:
  • defensive stability
  • control ya midfield
  • structure imara
Hii ni foundation, sio celebration.

Mashabiki huwa tunaangalia scoreline,makocha huangalia process.

YNWA ❤️⚽
Maelezo mengii...kujitetea kwingi...uwanjani upupu
 
Siku mtakuja kuamini slot ni tapeli itakuwa too late... huwezi tumia £500m window moja alafu timu haijui inataka nini uwanjani ..... mmesajili injury prone (isak) tuliwaambia huyu hawez kuwapa mechi kumi consecutively, frimpong average player, kerkez kuvaa tu jezi yenu ni matusi...hana levo hio... writz Epl inamshinda miguu inatetemeka.... Bora Hugho walau ........Virgil na Salah maji ya jiooni.... safi sana
 
Ukiwa shabiki wa Liverpool au hata mpira wa miguu kwa ujumla, lazima umewahi kusikia mshabiki wa Liverpool akiitwa "Kop". Lakini je, umewahi kujiuliza neno Kop limetoka wapi? Kwa nini halitumiki kwa klabu nyingine tofauti na Liverpool pekee? Kop si jina tu bali ni roho, historia na utambulisho wa mshabiki yeyote wa Liverpool.

Neno Kop linatokana na Spion Kop, jina la kilima kilichopo nchini Afrika ya Kusini. Kilima hiki kilipata umaarufu mkubwa wakati wa Vita vya Pili vya Makaburu (Boer War) mnamo mwaka 1899–1902 kati ya Waingereza na Waafrika wa Boer. Mnamo Januari 1900, askari wengi wa Uingereza waliuawa kwenye mapigano makali sana juu ya kilima hicho cha Spion Kop. Vita vilikuwa vya damu, mateso na hasara kubwa. Kwa Waingereza, Spion Kop ikawa alama ya ujasiri, kujitoa muhanga na mapambano hadi mwisho. Askari wengi waliopigana vita hivyo walitoka mji wa Liverpool.

Mwaka 1906, Liverpool ilipanua uwanja wake wa Anfield na kujenga jukwaa jipya nyuma ya goli. Jukwaa hilo lilikuwa refu, lenye mwinuko mkali na lilionekana kama kilima. Mwandishi wa habari wa michezo wa gazeti la Liverpool Post, Ernest Edwards, alipendekeza jukwaa hilo liitwe "Spion Kop". Alifanya hivyo kama ishara ya heshima na kumbukumbu kwa askari wale wa Liverpool waliokufa kwenye kilima kule Afrika Kusini.

Tangu wakati huo, jukwaa hilo likawa maarufu, baadaye jina likapunguzwa na kubaki: “The Kop.” Tangu hapo, jina hilo halikuwa tena la vita, bali likageuka kuwa eneo takatifu la mashabiki wa Liverpool. The Kop halikuwa jukwaa la kawaida. Lilikuwa mahali ambapo mashabiki walikusanyika kusimama bega kwa bega, kuimba bila kuchoka, kupambana na timu pinzani kwa sauti na roho.

Ndani ya The Kop: Hapa ndipo nyimbo za Liverpool zilipozaliwa. Hapa ndipo kauli “You’ll Never Walk Alone” ilipogeuka kiapo. Hapa ndipo mashabiki walipogeuka kuwa mchezaji wa 12. Kwa sababu hiyo, mtu aliyekuwa The Kop hakuitwa tena shabiki wa kawaida, mashabiki waliokuwa wakikaa hapo wakaanza kuitwa "Kopites."

Kopite ni zaidi ya shabiki. Kuwa Kopite haimaanishi kushangilia tu ushindi, ni; kusimama na klabu wakati wa shida, kuamini hata ukiwa unaanguka, kulia pamoja, kucheka pamoja na kusema “Never Give Up” hata dunia ikikataa. Jukwaa la The Kop lilikuja kuwa maarufu duniani kote kutokana na kelele, nyimbo, na bendera nyingi za mashabiki, hususan katika miaka ya 1960 chini ya kocha Bill Shankly. Katika kipindi hicho, kabla ya sheria za usalama kubadilika, jukwaa hilo lilikuwa na uwezo wa kuchukua karibu mashabiki 28,000 waliosimama na kuimba kwa sauti moja, jambo lililowapa wachezaji wa Liverpool nguvu na kuwatisha wapinzani.

Leo hii, kuitwa "Kopite" ni alama ya heshima inayomaanisha shabiki mwaminifu wa Liverpool anayebeba utamaduni na sauti ya Liverpool. Ndiyo maana leo, ukiwa Tanzania, Kenya, Uganda, Congo, Rwanda, Zambia, Malawi mshabiki wa Liverpool anapoitwa Kop, anajivunia. Ni heshima. Ni historia. Ni damu ya klabu.

Kop ni urithi. Liverpool ni klabu yetu. Anfield ni uwanja wetu. Lakini The Kop ni moyo. Na kila mshabiki wa Liverpool anapoitwa Kop, anabeba; historia ya vita, ujasiri wa askari, mapenzi ya dhati kwa klabu, na roho ya kutembea pamoja hadi mwisho. Kuwa Kop si bahati, ni utambulisho. Sisi si mashabiki wa kawaida — sisi ni The Kop.
 
Trent Alexander-Arnold At ‘Breaking Point’ After Damning Arbeloa Meeting

Trent Alexander-Arnold signed for Real Madrid in the summer but his spell at the Santiago Bernabeu has not gone to plan so far.

Trent Alexander-Arnold has held a meeting with new Real Madrid boss Alvaro Arbeloa where it was outlined that the England international is at "breaking point, reports in Spain claim.

Alexander Arnold signed for the 15-time European champions in the summer, leaving boyhood club Liverpool on a sour note after helping the Reds to a record-breaking 20th league title.

His contract expired at the end of the season and so Liverpool were initially set to lose the right-back on a free transfer.

But because Xabi Alonso and Real wanted him for the Club World Cup, they paid a fee of around £10 million to secure his services earlier for the tournament in the United States.

However, Alexander-Arnold has not a difficult start to life at the Santiago Bernabeu, struggling with injuries and form.

Alonso, the man who signed him, has been given the boot and it appears as though Arbeloa, another former Liverpool and Real player, does not see a future for him in the Spanish capital.

According to El Nacional, Arbeloa "has intervened directly to make it clear that he is not part of the team's plan".

It's claimed that Arbeloa sat down with Alexander-Arnold for a "frank conversation" where it was made clear that he look for another club in the summer as he will not be getting sufficient playing time.

The Spaniard is described as having been "been clear, honest, and direct" in the meeting, with the club agreeing that Alexander-Arnold ought to move on earlier than anticipated for the sake of his career.

With "defensive frailties have been exposed in several matches" as well as a lack of impact going forward, it's believed that Alexander-Arnold needs a "less demanding environment where he can regain confidence and consistent playing time".
 
According to Spanish website Fichajes, Real are considering selling the former Liverpool defender and that 'several Premier League clubs' are interested in potentially bringing Alexander-Arnold back to England this summer.

One club named in the article are Newcastle United, who currently sit tenth in the Premier League table.

And the other controversial potential route out of Real is to Liverpool's fierce rivals Manchester United, who sit sixth at present in the table and are two points behind Arne Slot's team, who Alexander-Arnold won the Premier League title with last season.

The attraction of selling Alexander-Arnold for Real is obvious, given any transfer fee they would receive for the defender would mostly be profit in light of the relatively low amount of money they parted with to sign the player.

Both Newcastle and United are even reported to be considering offers of around €40 million for Alexander-Arnold, but both of these are considered to be 'insufficient' to convince Real to sell the defender, with the La Liga side said to have 'no intention of letting him go'.

Alexander-Arnold's Real Madrid contract runs until the summer of 2031.
 
On this day in 1919, the great Bob Paisley was born ❤️

9 years in charge of the Reds ✨
6 League Titles 🏆🏆🏆🏆🏆🏆
3 European Cups 🏆🏆🏆
1 UEFA Cup 🏆
3 League Cups 🏆🏆🏆
1 Super Cup 🏆
6 Charity Shields 🏆🏆🏆🏆🏆🏆

Dedicating 44 years of service to the club from player to manager. Legend.
IMG_7107.jpeg
 
𝐘𝐨𝐮’𝐥𝐥 𝐍𝐞𝐯𝐞𝐫 𝐖𝐚𝐥𝐤 𝐀𝐥𝐨𝐧𝐞 𝐈𝐛𝐨𝐮 ! 🙏❤️

[📸@IbrahimaKonate_]

Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un

Ibrahima Konaté’s father has passed away

May Allah reunite them in the highest rank of Jannah and may Allah grant Ibrahima Konaté and his family strength and sabr during this moment Ameen

IMG_7108.jpeg
 
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham Hotspur are working on a deal to sign Andy Robertson from Liverpool, reports @TheAthleticFC 🗞️

Andrew Robertson has told Liverpool he is keen on a move to Tottenham.

Liverpool set to approach Roma to recall Kostas Tsimikas if Andy Robertson moves to Spurs.

Liverpool have accepted a £27M bid from Tottenham for Andy Robertson.

Thank you Robbo for everything you are forever a Liverpool legend ❤️🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿
IMG_7109.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom