Tunajua uwezo wake ni mdogo.
Yaani tukae tunamsifu kwa draw!
Bado unalitaka soka la Klopp? 🤣
- gegenpressing kali
- intensity isiyopungua
- soka la hisia (emotional football
- kukimbia ovyo
- pressing isiyo na mpangilio
- defending ya hisia
Madhara ya huu mfumo uliwafanya wakina Thiago, Keita, Ox Chamberlain, Matip, Jota (rip) etc kuwa majeruhi mara kwa mara
Ulikuwa unapunguza muda wao wa kucheza kwenye kiwango cha juu.
Labda nikuongezee na hii
Kwa msaada wa Google Gemini
Chaotic Football: Tafsiri na Urithi wa Jürgen
Klopp Chaotic
Football" (Soka la Vurugu/Fujo) katika muktadha wa Jürgen Klopp si soka la kubahatisha. Ni falsafa ya juu ya kimbinu inayojulikana kitaalamu kama Gegenpressing.
Huu hapa ni mtazamo wa kina kwanini mtindo huu ulikuwa wa kipekee:
1. Tafsiri ya "Chaotic Football"Kwa lugha rahisi, hii ni hali ya kutengeneza mazingira ambayo mpinzani anajihisi yuko kwenye dhoruba. Badala ya kusubiri mpinzani akosee (passive defending), timu ya Klopp ililazimisha makosa (proactive defending).
2. Transition (Mabadiliko): Mpira ukipotea, sekunde tano za kwanza ndizo zilikuwa "fujo" yenyewe. Wachezaji watatu au wanne wanamvamia mpinzani kwa wakati mmoja.Verticality: Mara baada ya kupata mpira, haukuwa mtindo wa kupiga pasi nyingi za pembeni. Ni pasi ya mbele haraka iwezekanavyo kuel ekea golini.
3. Kwanini Klopp alikuwa wa Pekee?Umesema kweli, hakuna kocha atakayeweza kuiga kwa usahihi huu kwa miaka mingi ijayo kwa sababu ya mambo matatu
3. Wachezaji walitakiwa kuwa na mapafu ya "mbwa mwitu." Kukimbia kilomita 12+ kila mechi kwa msimu mzima ni mtihani mkubwa wa kifizikia.
Na ndio FSG wwlimleta Slot kuleta Evolution kutoka mfumo wa gegenpressing kwenda kwenye mfumo structured football (control ya space, energy management, position discipline etc.
Halafu sasa hivi EPL imekuwa ya kisasa sio ya kizamani
1. KILA timu zinapress kwa nguvu
2.K
ILA timu ina data na analysts
3.Hakuna mechi rahisi
4.Kila wiki ni vita ya kimbinu
Kwa mazingira haya:
Kucheza chaos kila mechi kwani utasababisha injuries + burnout na kushuka kwa kiwango cha mchezaji
Huwezi kuendelea kucheza mpira wa nguvu tupu misimu mingi bila kuumia.
Slot analielewa hili.