Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi kumiliki Pistol na kuingia nayo pale Liverpool inahitaji masharti gani?
Nataka nikamalizane na Kichwa mviringo akapumzike Mbinguni.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Na mimi unaenda kumsusia li timu lake! Timu haiwezi ku-defend dakika za mwisho? Mpuuzi huyu jamaa hata hajui kufungua timu zinazopaki semi! Klopp angekuwa na hiki kikosi tungekuwa tunatabasamu tu!
Klopp angepewa hela alizopewa huyu jamaa
Tungekuwa mbali sana.
 
Hv kwa wale wacheza kamari nn maana na slot?

Isije ikawa Huyu kocha wa liverlooser ndo mwanzilishi wa slot hvy ameamua kuingia liver ili kupata pesa kirahisi πŸ˜‚
 
Slot anaondoka soon. Tutamkuta kwenye biashara
Aondoke tu
Huyu ni tapeli kabisa
Siyo world class coacher kama alivyo Pep, Arterta
Mara mia tungemchukua Tuchel

Viongozi wa Liverpool nao kujiona exceptional
Wakaenda kuokota hili tapeli ona sasa watu tunashindwa kutamba mjini
 
Hilo halina ubishi haiwezekani bichwa lote lile halina akili ya ukocha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wangempa timu ndogo kwanza kabla hajapewa timu kubwa kama Liverpool

Wapambe wake Sasa
Utasikia Ooh CV atajenga hapahapa.

Wakaenda mbali na kumkosoa Klopp
Eti Slot kamzidi Klopp
Jamani Baba Klopp utusamehe😭
 
Aondoke tu
Huyu ni tapeli kabisa
Siyo world class coacher kama alivyo Pep, Arterta
Mara mia tungemchukua Tuchel

Viongozi wa Liverpool nao kujiona exceptional
Wakaenda kuokota hili tapeli ona sasa watu tunashindwa kutamba mjini
Achukue frame Makumbusho auze simu used from Dubai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom