Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
The MoNABado watu hawaelewei kinachofanyika sasa
Slot aliikuta:
1. Timu iliyotoka kwenye peak ya Klopp
2. Baadhi ya Wachezaji walikuwa wamezoea mfumo mmoja kwa miaka 7+
3. Dressing room yenye emotional hangover ya Klopp
Watu wengi huwa unasahau transition ni ngumu zaidi kuliko kujenga from scratch.
500m spent = no rebuilding”?
Hii ni misconception kubwa kwenye football analysis.
Spending inaweza kuwa:
1. Squad refresh (age profile, injuries, depth)
2. Tactical fit kwa mfumo mpya
3. Long-term investment, siyo instant first XI
Hiyo pesa haikumwaga kwenye finished product, bali kwenye restructuring ya mfumo.
Tulipaswa kuendeleza ubora, sio kujenga
In theory — yes.
In reality — impossible bila kipindi cha adjustment.
Kubadilisha:
- pressing triggers
- build-up structure
- midfield roles
- attacking patterns
Huwezi “endelea” bila temporary regression.
Mechi 6 ni improvement kubwa?
Hapana, siyo mafanikio ya msimu.
Lakini kitaalamu, hiyo ni trend indicator.
Coaches hawapimi progress kwa trophies tu, bali:
Na hapo ndipo improvement inaonekana.
- game control
- chance creation
- defensive structure
- consistency ya performance
Bottom line:
Hakuna anayesifia mediocrity.
Tunatambua direction ya timu.
Kuona improvement ≠ kuridhika.
Ku-ignore improvement ≠ kuwa realistic.
Mwisho wa msimu ndipo tutatoa verdict.
Kwa sasa, analysis inasema: response ipo, trajectory ipo.
Njoo umsaidie Kaka yako kumpamba kocha wenu Kipara