Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Liverpool imemwaga pesa kama McheleMkuu umemkamia huyu jamaa,, atakuprove wrong ohoo.
Wahenga hawaamini
Pesa nyingi matokeo sifuri
Liverpool imemwaga pesa kama McheleMkuu umemkamia huyu jamaa,, atakuprove wrong ohoo.
😂😂😂😂😂Kichwa mviringo tokea juzi analewa tu eti kisa kashinda mechi mbili mfululizo
Jamaa amepewa timu kubwa kuzidi uwezo wakeZubimendi aliwaambia Kichwa mviringo hajui mpira, mkashupaza shingo.
Mmecheza 11 dhidi ya 9 uwanjani ila mkawa mnaomba mpira uishe.
Nimeanza kuamini waholanzi EPL sio level yao kabisa.
Our Bobby is back🔥🔥🔥🔥Helooooooo Miss Liverpool
YNWA
Merry Christmas to you
YESU KRISTO azaliwe na baraka mpya maishani kwetu.
Nimeacha kuangalia mpira kwa ujinga wakeUkishamaliza Sikukuu ukumbuke tu kuwa bado tuna Kichwa mviringo huku anakusubiri
Andiko bora sanaWhat Salah did is unprofessional totally unprofessional.
Popote duniani kwenye mpira hasa kwa timu kubwa hauwezi kutoka na kuongea kama aliyoyakngea Salah na ukiwa salama. Haipo hiyo
Salah huyu huyu alikataa ku shake hand alipofanyiwa sub na Klopp watu wanasahau haraka sana. Pona yake Klopp was a coach angekuwa Mourinho angekuwa na wakati mgumu sana. Salah huyu aliwahi kusema akifungua mdomo wake moto utawaka ilikuwa kipindi cha Klopp. He has bad character.
Salah ana ego ndio ilileta mzozo wake na Mane ni vile Mane alikuwa na busara dhidi ya Salah. Si unakumbuka Mane did celebrate ile Afcon 2022 mbele ya Salah that the huge respect, ili asimuumize Salah, alimjua Salah.
Regardless ya mwenendo wa timu Salah ametoka hadhari na kwenda ku attack team. Liverpool thrown me under the bas. Je ni kweli.?! Most earned guy ni yeye. Salah played every matches before last four matches kiasi cha watu kusema Slot anamuogopa Salah, kwani kuna kipengele cha kwenye mkataba wake kinamtetea asicheze?
Salah is a self glory hunter now,and guess what every his teammates are against his views, no media or pundits defend his Statement. It was so unprofessional. Sir Alex aliamua kumuuza Beckham alipoona ananyanyua ukubwa wake dhidi ya klabu.
Perez did the same kwa Cr7, united did the same kwa Cr7 licha ya mwenendo mbaya wa klabu chini ya ETH ila club ilisimama against cr7. Next Salah itamlazimu kuomba msamaha he has no choice.
Thierry Henry on Mo Salah's comments: "I had problems with Wenger, with Guardiola… Have you ever heard me talk about it publicly? NEVER. I protected the club."
"When you play for a club, you must protect it at all costs. No matter what’s happening internally, you protect the club — your teammates, the manager, the staff."
"You can be angry, frustrated, disagree… but you don’t air dirty laundry in public, especially when the club is going through difficult moments."
"Instead, you wait, you sort things out internally, and then, if you want to leave or speak your mind, you do it at the right time."
"I understand the ego and Mo’s frustration... He scores 38 goals and ends up on the bench, but there comes a point where you must put the team before yourself.”
(Source: CBS Sports)
My view
Of course yes.!!! He used Salah is his Scapegoat it could sound better if he dropped Gakpo, Konate and probably Gravern , play Endo, Chiesa and Gomez to show truly you are not bias.
The thing slaughtered Slot apart from performance and result is his bias especially preferred Gakpo more over inform Chiesa. Why Gakpo is our corner taker with less output, why Gakpo played many mins over Chiesa.
Why not playing Endo..?! Im sure with enough mins of playing Ngumoha would be a good starter than Gakpo.
Its a reason why Szobo said “whats going in a dressing room remain in a dressing room” that statement itself shows there is division in the team, of which Slot brought with his bias.
Regardless the truth, Salah shouldn’t acted like that. His statement showed he is a bigger player than club, it is not acceptable. Between me and Coach total unprofessional.. it would be easy to say im not happy with the situation, im not ok with the coach, understandable.
Disrespectful
Carra statement has two side
If you are against Salah you will love his statement, if you against Slot, you will hate.
The point is Salah has driven by expactation, he has his own plan in term of personal records his obstacle this season.
The challange is majority didnt what to go beyond Salah’s statement. If Slot opted Gravern to Endo, Chiesa to Gakpo, Gomez for Konate, all get benched because of their horrible performance individually all this debate would exist by now.
Now its Salah Statement vs Slot management… its catalyst poor performance as well as bad result consistently…
Ynwa
Kataenda City