Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🀣🀣🀣 Kichwa mviringo na Ten Hag tofauti yao ni ukubwa tu wa makomwe.
Wametunguliwa bwana🀣🀣🀣....Liva watafute beki wa kueleweka....vngnevyo msimu huu wataaibika sana....bichwa ndonga Slot watu washamjulia....mechi ijayo na Manunu....kama naliona teka mabao ngongoti la Manunu
 
🀣🀣🀣 Kwenye dirisha la usajili kichwa mviringo alikua anaomba aongezewe tu washambuliaji, baada ya kusajiliwa Isak na kufikisha jumla ya washambuliaji 6 Slote akaomba aongezewe fowards wengine watatu.
 
🀣🀣🀣 Kwenye dirisha la usajili kichwa mviringo alikua anaomba aongzewe tu forwards, baada ya kusajiliwa Isak na kufikisha jumla ya washambuliaji 6 Slote akaomba aongezewe fowards wengine watatu.
🀣🀣🀣🀣
 
Unauza mtu kama Nunuz msimu aliyesaidia mabao 28 kwa dk 45 za kila game . Then Luis Diaz msumbufu mwenye kufungua nafasi ... unakuja kusajiri watu wasioeleweka team haiko balance kabisa . Msimu huu tutabondwa sana
Hivi mlikuwa hamuoni hivi wakati mnasajili nyinyi si ndio mlikuwa mnambeza Nunez Leo amegeuka wa maana? Luis Diaz yeye ndio alitaka kusepa kocha wenu angefanyaje? Wakati mnawasajili Isak, Wirtz, Ekitike na frimpong mliwasifia sana management yenu vipi mbona Sasa mnapiga kelele
 
Kwani mkuu umesahau haiba yetu sisi waswahili .
Ila tutakaa sawa sio muda tutajua mchawi ni nani??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…