tangu ile siku alivyoipisha ile through ball ikamfikia wonderkid Rio, shahidi wangu bobbyUlituambia lini? Mbona mimi sikumbuki?
tangu ile siku alivyoipisha ile through ball ikamfikia wonderkid Rio, shahidi wangu bobbyUlituambia lini? Mbona mimi sikumbuki?
umesahau Sporting wamesema No RefundHuyo Isak hizo pesa mlizotupa mtajutia
Kwani ni sisi ndio tunazitoa? Sisi ni mashabiki tu 🤣🤣🤣Huyo Isak hizo pesa mlizotupa mtajutia
Oyaa tayari uko Jamaa wamemdaka Jaydee Canvot kutoka ToulouseDili yenyewe bado bado aisee . Replacement Igor imeshindikana kwenda Crystal Palace...
Guèhi yupo London kashamaliza vipimo anasubiri kusaini ngoja tuone.
YNWA
Huyo mchezaji na timu yake hawajielewi ni WA kuachana nae mchezaji kaka ki shamba ndio maana anaendeshwa ovyo kama gunia la viazi tofauti na isakNaomba kueleweshwa jamani mbona romano anasema tofauti.
🤣🤣🤣🤣🤣Liverpool walifabya mambo ya kilofa sana kumuuza Jarell Qounsah hqpo ni kama baunsa unanjaa juu chini hamna kitu
Liver sio mbingu kwamba ni lazima aendeHuyo mchezaji na timu yake hawajielewi ni WA kuachana nae mchezaji kaka ki shamba ndio maana anaendeshwa ovyo kama gunia la viazi tofauti na isak
Mwakani ataondoka bure, ni hasara ya club piahoya dili limebuma Marc Guehi anabaki palace 😂😂.Glasner kakaza dah.