Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1000120861.jpg

Same old same old Chelsea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

YNWA
 
Leo Mabeki hasa Konate wakaze basi japo kidogo wasije kufanya ule ujinga wao.
Yaani games 3 (vs. Palace, Bournemouth na Newcastle) tume-concede magoli 6? Hii haikubaliki kabisa kuruhusu magoli mawili kila mechi.
Leo tukiruhusu magoli mawili basi mechi itakuwa ngumu.
 
Arsenol akikutangulia kuchomoa kazi mno maana wana defence ngumu wno pale pl
 
Dondoo za Leo kuna uwezekano mkubwa sana BUKAYO SAKA asicheze game tano zijazo ikianzia game ya leo hii ni kutokana na majeraha ya hamstring.
Kuhusu MARTIN ØDEGAARD anaweza akapata dakika chache zaidi tofauti na ilivo tegemewa sambamba na hayo pia KAI Havertz anaweza cheza 2nd half pekee sababu ya ile surgery ndogo ya mguu

Sisi kama LIVERPOOL
Arsenal wana Eze kulingana na ripoti — mchezaji mwenye ufanisi mkubwa wa counter-attack. Liverpool lazima ilinde mpira haraka na ushirikiano kati ya kiungo wa kushoto na beki wa upande kushoto ili kuzuia uharibifu.
Huyu jamaa ni mchezaji anatizamwa zaidi kwa siku ya leo so we have to be in touch with him as a player.
 
Havertz na Saka wote hawachezi hii game 100%
 
Leo Mabeki hasa Konate wakaze basi japo kidogo wasije kufanya ule ujinga wao.
Yaani games 3 (vs. Palace, Bournemouth na Newcastle) tume-concede magoli 6? Hii haikubaliki kabisa kuruhusu magoli mawili kila mechi.
Leo tukiruhusu magoli mawili basi mechi itakuwa ngumu.
Game ya leo mbona laini sana kwetu hii mkuu
Ushindi ni sheria upande wetu Arsenal hamna kitu kaka mbele ya Liverpool fuatilia historia
Overall results 'll be
LIV 3 1 ARS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom