Frimpong ❌
Bradley ❌
Gomez ⁉️
Endo ❓
Szoboszlai 👀
Curtis Jones ❗
Who would you start at right back vs Newcastle?
Its a bit of Challenge indeed, missing your senior Players kwenye mechi kama hii ni ngumu sana.
But i will start with Wataru, ila ukianza na wataru inabidi ufumue kamfumo kidogo. Instead of choosing overlapping and/or under lapping upande huo unafanya inverted.
Endo anaingia katikati kuwa kama 6, ila walati huo Gravern anasogea juu kuongeza numbers, plus Szobo anasogea RHS kuongeza number upande wa Salah (he will be marked totally). Inverted system inaweza ku work vizuri, utaongeza physicality kwenye MF, NUFC watakuja heavily. Mf ya Macca, Gravern and Szobo inaweza kuvaana vyema na NUFC, but I don't see it. WWIII away vs NUFC always couple of seasons wamekuwa hivyo, jumlisha Isak's saga watataka kuwaonesha mashabaki wao something.
Hopefully akianza Endo with inverted system inaweza kuleta ufanisi.
Ila sitoshangaa kuona three Center backs wakianza Konate (on RHS) Leoni, Vvd and Kerkez. Kuna option nyingine ya Gravern kutumika as RB na Jones akaanza kwenye nafasi ya RB ila wakati wa kutengeneza mashambulizi Jones anasogea mbele na Gravern kuwa as third CB, huku Macca or Szobo akiwa mbele yao.
Hizi zote ni options za Slot. May be back to the root itakuwa second half. Let Ekitike play whole 90 mins, why?? Hatuna ST moja hakuna atakayeweza ku battel na NUFC defenders as a ST (false nine role).
Ila option mbili zitatumika kati ya hizi
1. Anza na endo then kuwa inverted
2. Anza na Jones kisha Gravern abaki as a third CB ila atakuwa RHS kama RB Jones awe atumike RHS ila not overlapping or under lapping.
Lets sit back and watch.
Ynwa