Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kwani ACL si ndiyo iliyomtoa GOMEZ kwenye reli?
"ACL" alipata msimu wa 2015 2016 akakaa nje siku 224.
YNWA
Kwani ACL si ndiyo iliyomtoa GOMEZ kwenye reli?
Heheheh kaka hakuna mpinzani atakupa mbinu za ushindi kirahisi rahisi, hivi hivi. Ushauri umekaa ki-nerfique nerfique sana aisee nimeushtukia.Yaani nawapa mbinu kabambe kiroho safi kabisa 😀😀😀😀 au unaona kama naleta unafiki? 😀😀
Pia najua nyie hamna jeuri ya kusema eti dili la Isak likikataa kabla ya 1st September eti mtaliacha. Mtakomaa nalo na ikishindikana mtamfuata January.
Isak mwenyewe anawahitaji mumchukue chaap kabla hajazeeka. Anajua msipomchukua sasa hivi ndiyo baaasi tena.
Gomez aliipata ACL akiwa na England u21 2015, akaja kukaa sawa akakiwasha akapata tatizo la kifundo cha mguu. Tangu happ naona hajarejea tena.Kwani ACL si ndiyo iliyomtoa GOMEZ kwenye reli?
Umewachukuliaje spurs?Wazee wenzangu.
Hii Man citu haitishi kabisaa.
Huu msimu pia wetu dirisha dogo tupate CB tu and then we win it.
City mechi na wolves nimewaona pia.Umewachukuliaje spurs?
Uko sahihi kabisaCity mechi na wolves nimewaona pia.
City striking force yao sio ile ya kulazimisha tena, hawana msako wa kutisha boss.
Heheheh kaka hakuna mpinzani atakupa mbinu za ushindi kirahisi rahisi, hivi hivi. Ushauri umekaa ki-nerfique nerfique sana aisee nimeushtukia.
Team ikibana sana hua tunaondoka na haturudi ila Isak tutasubiri mpaka 1/9 fuone kama NUFC wataweka ngumu. Tukishindwa hapo na tuka click vizuri hatutarudi kwake. Mf. Zubi" Gravern ku click tu ikaisha.
Rio na Chiesa waki step up enough, we will walk off the deal.
Ninyi timu kwa sasa ipo well balanced you can do much better this season only if Arteta asipozidisha akili nyingi mahali pa kutumia akili ya kuvukia barabara, yeye atumie akili ya kujenga ghorfa.
Ynwa
Szoboszlai.Frimpong ❌
Bradley ❌
Gomez ⁉️
Endo ❓
Szoboszlai 👀
Curtis Jones ❗
Who would you start at right back vs Newcastle?
Msimu huu Arsenal siwachukulii poaWazee wenzangu.
Hii Man citu haitishi kabisaa.
Huu msimu pia wetu dirisha dogo tupate CB tu and then we win it.
Next match tuhakikishe tunaanza kumkata pumzi mapema .Msimu huu Arsenal siwachukulii poa
Ohooo, ngoja tuone watakavyotunishiana misuliOoooh kichaa kaingilia dili😂
View attachment 3451035
City ikifanikiwa kumchukua tutakuwa tumefanya uzembe mkubwa sanaaaaOhooo, ngoja tuone watakavyotunishiana misuli