Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1000117309.jpg

😃😃😃😃😃Noma sanaaaa.
...... sometimes...

YNWA
 
🚨 Alexis Mac Allister hajaonekana na kikosi cha Liverpool kilichowasili Newcastle

Uwezekano wa Alexis Mac Allister kucheza dhidi ya Newcastle umeanza kutiliwa shaka, baada ya kutokuwepo kwenye kikosi cha wachezaji 21 wa Liverpool kilichowasili jijini Newcastle kabla ya mechi ya leo.

Arne Slot bado anatafakari nani aanze kama beki wa kulia, huku Jeremie Frimpong akiwa majeruhi, na Conor Bradley pamoja na Joe Gomez wakiwa bado hawako fiti kikamilifu.

Bradley amesafiri na kikosi, lakini Mac Allister hakuonekana akishuka kwenye basi Jumapili jioni. Inaaminika huenda kutokuwepo kwake kunahusiana na mpenzi wake Ailen, ambaye kwa sasa ni mjamzito na anatarajia kujifungua mtoto wao wa kwanza.

Kama hatacheza dhidi ya Newcastle, Slot anatarajiwa kutoa maelezo — kama alivyofanya kwa Ryan Gravenberch, aliyekosa mechi ya Community Shield ili kumkaribisha mtoto wake na mpenzi wake Cindy.
 
Former Chelsea and Arsenal star 𝐖𝐢𝐥𝐥𝐢𝐚𝐦 𝐆𝐚𝐥𝐥𝐚𝐬 says Newcastle needs to be careful with keeping Alexander Isak against his will.

"I think what Newcastle tried to do is what Daniel Levy tried to do many times with Gareth Bale and Luka Modric," he told Gambling Zone.

"But with those two, the situation hadn’t come this far. They were still training. They weren’t in the newspapers. They were professional. It wasn’t a saga."

"Newcastle have to be careful. Hugo Ekitike scored twice already, and Liverpool won their game. So they have to be careful about how they handle it from here."

"If Newcastle ask for a ridiculous price, Liverpool could walk away from the table and then you have a situation where the player is in limbo and Newcastle will probably have to accept less money for him in January while also having a weaker squad for the first half of the season."
 
Paul Joyce wrote in The Times on August 22, 2025, about the data not just speed, shots, and creativity that convinced Liverpool to sign Hugo Ekitike:

Key Insights from Joyce's Article

xG Underperformance Isn’t the Whole Picture

Ekitike had one of the highest non-penalty expected goals (xG) tallies in Europe’s top five leagues (19.3), yet scored five fewer goals than expected—more underperformance than any other player.

Speed & Athleticism (Pitch Control)
Liverpool's models assess beyond xG—highlighting space creation, ball-carrying, passing decisions, and pitch control (a concept linked to speed).
Ekitike ranked among the fastest in the Bundesliga, clocking 35.5 km/h.

Creativity & Involvement in Attack
He ranked 7th in open-play chance creation in the Bundesliga and averaged over 4 shots per 90 minutes and over 7 touches in the opposition box per 90. Only three other players in Europe notably Lamine Yamal, Kylian Mbappé, and Ousmane Dembélé matched that stat line.

Elite Historical Comparisons
Liverpool’s historical tracking placed Ekitike alongside under-23 elite forwards like Erling Haaland, Alexander Isak, and Kylian Mbappé in their broader evaluations.

Durability & Workload Capacity
He played 3,644 minutes last season a high mark demonstrating physical resilience crucial for Liverpool’s demanding schedule.

Strategic Transfer Tactics & Timing
Contact with his camp began in January, and conversations with head coach Arne Slot occurred at the end of the season. Liverpool concealed their hand while Newcastle were pursuing him, ultimately revealing their interest strategically. Internal factors including the tragic passing of Diogo Jota also refocused Liverpool’s approach to their striking needs.
 
Why Speed, Shots, and Creativity Mattered

Speed (35.5 km/h): Enabled superior pitch control and dynamic movement, aiding in both creating and exploiting space.

Shots & Box Involvement: Averaging over four shots per 90 and over seven touches in the box placed him in elite company and demonstrated consistent offensive threat.

Creativity: His chance creation ranking underscored his ability to both score and facilitate an all-around forward, not just a finisher.

Together, these attributes bolstered by advanced analytics, elite peer comparisons, robust stamina, and clever negotiation strategy—framed Ekitike as a high-ceiling, high-value signing for Liverpool.
 
Changamoto kwenye defensive structure ya timu yetu ni hizi hapa

1. Central Defenders (CBs) – Tatizo la ball watching limekuwa dhahiri, hasa kwenye second balls na cut-backs. Wanakosa kusoma off-the-ball runs za wapinzani, na mara nyingi wanachelewa ku-track runners. Hii inaleta nafasi wazi katikati ya box.


2. Full-back wa kushoto – Ana nguvu kubwa kwenye progression (kupandisha mpira mbele), lakini under pressure inakuwa rahisi kwake kupoteza mpira au kukosa decision sahihi ya defensive transition. Hii inawapa wapinzani nafasi ya kutumia channels nyuma yake.


3. Defensive Midfield (No.6) – Kiungo wa kuzuia hana screening efficiency ya kutosha. Badala ya kusoma passing lanes na kuzuia vertical balls, mara nyingi anakuwa late kwenye positioning. Hii inaacha gap kubwa kati ya safu ya mabeki na viungo, ambapo wapinzani wanacheza between the lines.

Timu ikitaka ku-balance, inahitajika coordination zaidi kati ya DM na mabeki wa kati, ili press resistance na defensive compactness viwe bora. Pia rest defense wakati full-back anapanda mbele inatakiwa kuwa na coverage ya kiufundi, labda DM au CB mmoja kuslide kufunika upande huo."
 
Itoshe kusema tuna kikosi finyu sana sana. Sasa hapo mfano VVD kaumia nini kitatokea,,
View attachment 3453043
Unapata wapi ujasiri wa kusema kikosi finyu kwani hapo hujaelewa nini? Upana wa kikosi maana yake kila mchezaji awe anapair na mbadala wake

Na ndo iko hivyo kwa Liverpool isipokuwa pair ya VVD na tuko on the way kumchukua Guehi. Sasa shida iko wp
 
Hii press ya NEWCASTLE inahitaji maamuzi ya harakana na sahihi tukipata mpira. Jamaa wametupress vzr sana, na mpk sasa hatuna solution.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom