Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
St James Park here we come 🔥🔥🔥
Monday Night Football is here 🥂🥂
YNWA
though nina mapenzi na Barca ila dah!, huyu jamaa transfer yake kuelekea Barcelona iliniuma sana
Huyu bwana pesa yake ndio kwa kiasi Fulani imetuletea haya mafanikio ya Leo maana FSG kabla ya pale walikua hawasomeki wanataka Nini.though nina mapenzi na Barca ila dah!, huyu jamaa transfer yake kuelekea Barcelona iliniuma sana
Kama mie ilivoniuma kwa Trent!though nina mapenzi na Barca ila dah!, huyu jamaa transfer yake kuelekea Barcelona iliniuma sana
Ndio Mkuu kutoka kwa Slot....atakua nje mpaka baada ya mechi za Kimataifa September.Hizi habari za Frimpong kupata majeraha ni official??
Ndio Mkuu kutoka kwa Slot....atakua nje mpaka baada ya mechi za Kimataifa September.
Ishu ngumu Bradley na Gomez hawana uzima asilimia 100 hivyo Usishangae kuona RB akicheza Grave, Endo, Jones, Sobo.
YNWA
umemwona akicheza game ngapi boss, au nitajie chama lako halafu siku atayowapasua nikutag kwa heshimaWirtz mmepigwa.
Gomez ✅✅✅ .Acheze Gomez tu hakuna namna
Hamstring injury kidogo afadhali si kama ile ACL yaani ni mbaya sana
Its like a high stakes game of chicken nobody wants to blink first.The Rich Arabs are taking this to the wire😃😃😃😃it's a matter of who brink first haha quite saga....
YNWA
Its now or never hii itakuwa statement ya LFC kwa Isak. Ila mwarabu kaweka ngumu.Ikifika mahala kama hapa hua lazima mmoja akumbali yaishe na muda mwingi hua ni Klabu maana Haina maana kua na mchezaji kikosini ambae hana furaha kuwepo yaani Mwili upo lakini akili hazimo kabisa.
YNWA
ACL ni injury mchezaji akiipata kurejea alipoishia ni majaliwa. Hamstring ikiiwahi, amost ni mwezi hivi unarudi uwanjani.Acheze Gomez tu hakuna namna
Hamstring injury kidogo afadhali si kama ile ACL yaani ni mbaya sana
Si kwamba anaiba mbinu kwa Mswidi mwenzie tu huyu? 😀 😀 😀 Eti 'promises were made', promises kitu gani bhana? Isak kaona jinsi Gyokeres ameshinda vita na Sporting kwa kukomalia 'promises', akaona hii ndiyo njia yake ya kutokea pia ila huenda amekutana na matajiri wajeuri zaidi ya Sporting ambayo ni klabu ya umma 😀😀Isak amesema kwenye insta short stories ya kwamba wamenisaliti walichokisema msimu uliopita sicho wanacho fanya
Nukuu
Promises were broken," trust is gone, the relationship can’t continue—change is best for all.
Newcastle wanakana lakini mwamba hawezi Jidanganya
NUFC wakiwasumbua sana hii summer, mwacheni Isak abaki kwao awatese kwa hii miezi michache mpaka January.Its now or never hii itakuwa statement ya LFC kwa Isak. Ila mwarabu kaweka ngumu.
Hawana any intention ya kumuuza isipokuwa wanatengeneza mazingira wasionekane wao ndio sababu.
Isak alishawaambia juu ya kutaka kuondoka mapema, wakajaribu kwa Ekitike 1st bid rejected waarabu wa NUFC watakuwa waarabu wa kambo hawakurudi tena. LFC wakampitia Ekitike. Push ya kumtaka na Isak ikaongezeka wakajaribu kwa Sesko akawachomolea. Hawana any option ya kumpata ST wa maana. Wanasumbuana na Brentford kumpata Wissa. My Opinion wamchukue Wissa na Jackson watafnya vizuri sana watapata vibe kama ile ya Demba Ba na Demba Cisse.
Hapa ndipo NUFC ime stuck, wanajua kabsa Isak hana intention ya kuendelea kubaki na aliongea na Eddie Howe kwenye game yao vs Everton, kwa hiyo walikuwa na room ya almost 3 months kutafuta signatures za maana.
Hii inakupa picha hawana strategy nzuri na inavyoonekana hawana project eleweka ya maana ndani ya klabu.
Isak anaona akiwa ndani ya LFC ya sasa CL spot season in seasoj out atashirika probability ya kuchukua major trophies ni kubwa unlike NUFC.
Unfortunately he has three years left on his contract, of which sio LFC ikimsubiri miaka yote. Akisubiriwa amalize contract aje as free agent atakuwa na 28 yrs, kama ingekuwa ni 1 yr im sure angesubiriwa.
Pamoja na kuto train na timu toka preseason kwa session kadhaa na sasa kutokucheza, lakini NUFC hauoni wakosema chochote kumuhusu mpaka alipoongea Isak, hawajamuwajibisha kwa vyovyote hii inakupa picha kwamba, kuna makubaliano yamekiukwa na Isak yupo sasa kutaka kuondoka.
Ynwa
Heheh najua hamtuombei kwenye hili deal lifanikiwe.NUFC wakiwasumbua sana hii summer, mwacheni Isak abaki kwao awatese kwa hii miezi michache mpaka January.
January mtamchukua kwa 20m including add-ons.
Yaani nawapa mbinu kabambe kiroho safi kabisa 😀😀😀😀 au unaona kama naleta unafiki? 😀😀Heheh najua hamtuombei kwenye hili deal lifanikiwe.
Si unajua ligi huwa tunachukua round ya kwanza aisee?? Hiyo round ya pili huwa tunapimishana misuli na anayetufukuza.
Tuna weak bench, imagine anatoka Isak anaingia Ekitike, au anatoka Gakpo anaingia Ekitike. Tutakuwa na atleast game changer kwenye bench.
As per our culture deal tunakomaa nalo mara moja tu likishindikana anyhow tu tunaondoka mazima.
Ynwa
ACL ni injury mchezaji akiipata kurejea alipoishia ni majaliwa. Hamstring ikiiwahi, amost ni mwezi hivi unarudi uwanjani.
Chiesa alinunuliwa £10m kwa sababu ya ACL hajarejea kwenye ubora.
May be this season will add up his value.
Get well soon to him
Ynwa