Download app inaitwa CrifyAu mwenye kufahamu app inayoonesha online nipe jina mkuu
Bado mapema sana mkuu.Narudia tena mpaka sasa Kerkez sijaona kuwa ni upgrade ya Robertson.
Naendelea kusubiri kuona maendeleo yake pengine mfumo wa Liverpool bado hajauadapt
MPk sasa sajili inayofanya vizuri ni ya FRIMPONG ebhana ule upande tumepata dume.
Kerkez namfananisha na yule private ryan wa kwenye movie ya "SAVING PRIVATE RYAN". Kerkez bado nadhani na umri na stamina bado havijakaa pamoja.
Bado sana na hii ndo itakuwa sub ya kwanza goal zote mbili ilikuwa atuchone fala huyuNarudia tena mpaka sasa Kerkez sijaona kuwa ni upgrade ya Robertson.
Naendelea kusubiri kuona maendeleo yake pengine mfumo wa Liverpool bado hajauadapt
Ahaha anapatika anaambiwa rudi nyumbani mama yako anakuhitaji maana kaka zake wote wengine wamekufa duniani mama kabakiza mtoto mmoja tu ambaye ni yeye , Dogo anakataa kurudi nyumbani anataka kutekeleza order aliyopewe.Private Ryan anatafutwa halafu hajui kama anatafutwa