Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

β—ΎHII NIKWA UPENDO TU WANAGU WA CHELSEA

Klabu ya Chelsea mabingwa wa Klabu bingwa Dunia wame ichangia familia ya Diogo Jota πŸ‡΅πŸ‡Ή kiasi Cha $15m kutokana na kifo Chake na Mdogo wake Andre Silva πŸ‡΅πŸ‡Ή

Klabu ya Chelsea imetoa kiasi hiko Cha pesa Katika fedha za ushindi wa kombe Hilo Huku wachezaji wote wakiwa wame changia kiasi Cha $500,000k Kwa ajili ya familia hio,

β–ͺ️Hii Nikwa upendo tu , na hii ndio tafsiri tosha ya Mpira wa miguu πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Boniphace Shabani πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
#BonyNews
#ChelseaFootballClub
#LiverpoolFootballClub
#Diogo/Andre
 
Arne Slot:

"We are definitely ready for the league to start."

Arne Slot has confirmed Liverpool have reached an agreement to sign Giovanni Leoni:

β€œThe clubs have agreed a deal but he has not signed for us yet. The moment he does, I can go into more detail.”
 
HahaπŸ˜ƒ mkuu Mkuu lile kosi la Argentina CB na full backs zilikuwa zina urefu wa kawaida sana,, lkn nadhani kilichowaweka safe Argentina walikuwa wana viungo wenye Roho ya paka.
Yes mabeki warefu wana umuhimu ndio.
Uliona mbappe alivyowagaragaza? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...

Kilichowasaidia wanamchawi wa soka Dunia, la sivyo Ile gemu iliisha mapema mno...

Sasa kutana na mbappe, Jude, vin Jr au wale washambuliaji wa Barca uone na vimbilikimo vyako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kila Kona kipa anatukana TUπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daah una gubu aiseeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Aisee mwanamke akiwa na mapenzi na mtu hata awe vipi atamtetea tu, yaani kumlinganisha tu AB1 na Kelleher tayari ni tusi kubwa sana kwa AB1. Yaani sawa na kulinganisha bwawa la nyumba ya Mungu na Ziwa Nyasa hahahah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…