Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Idiot
 
We were not serious enough kuutaka mchezo.

Kuna kitu watu wengi hawajakielewa hasa kwa mchezo ule vs Palace. We were too much offensive team than even defensive team, credit ziende kwa Palace kwa kuliona hilo na ku switch kwenye long balls with quick transitions.

Position, Responsibility, and ability ndivyo vinaleta balance, na ndizo indicator za kumweka mchezaji sehemu sahihi na wakati sahihi. Yaani vipi Szobo na Jones wawe as anchor and deep lying MFs?? Hii combo hata a championship team hawawezi kuthubutu hilo, and have just taken it as a friendly game with less seriousness. Hope that will never happen again.

Wachezaji watatu tu atleast ndio walikuwa defensive minded players Vvd, Konate and Kerkez though Kerkez bado ni 50/50 player. Waliobaki wote akilini mwao pamejengwa na mbinu za ushambuliaji, zaidi ya uzuiaji hata talents zao zinaangukia humo naturally.
Jones & Szobo positions zilikua sahihi 100% ila ability ni 10%, kama uwezo ni mdogo maana hata jukumu lako litakua dogo tu kulitekeleza au utalitekeleza bila ufanisi.

Binafsi simuoni Szoboszlai as A world class player kama Mosdef alivyowahi kumuelezea huko nyuma. He has no that ability to click into world class group. Yes ni mchezaji mzuri, ila sio kwa level hizo.
My take inabidi acheze kwenye free role, mchezaji muongo muongo. Kwamba jukumu lakini ni kucheza na movement timu ikiwa na mpira acheze uwanja mzima asiwe na limitations especially kuanzia half of opponent. Unakumbuka his highest performance vs B'mouth alicheza hivyo kama kiungo huru with less limitations.

Tusubiri mpaka 31/8 usiku hivi tujue nani ameingia nani ametoka, as it Stands tumeenda Parma kubisha hodi kwa Leoni. Guehi amekataa kuongeza mkataba wasipomuuza msimu huu basi next summer ni free agent, hawa wote initial bids were rejected.

Ynwa.
 
🚨 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄: Liverpool are working on both Giovanni Leoni and Marc Guehi as CB options 👀

Parma defender Leoni’s seen as top talent for future… with his name included on shortlist already since July.

Marc Guehi won’t sign new deal at Palace and remains opportunity for final three weeks as talks are ongoing.

Club assessing options internally ahead of decision being made very soon for the centre back position.
 

This is the life aisee.

Yaani mtu anaweza kuweka mgomo kwenye ajira ya mamilioni ya pauni, kazi kuu ni kufanya mazoezi, kucheza mpira na majukumu kadhaa ya kibiashara kama mahojiano, matangazo, nk.

Nilishangaa Gyökeres alivyoweka mgomo ili aje kwetu (tumenufaika, sawa, ila si sahihi sana, japo yeye alionekana kuwa sahihi kwa sababu aliahidiwa kitu na muajiri wake halafu muajiri akamgeuka) na sikutegemea kitu kama hicho kitatokea tena hivi karibuni, achievable mbali ndani ya dirisha hili hili.

Sasa tuone tu hili suala litaishia wapi. Je Newcastle watakubali kumlipa mshahara bure mchezaji asiyeitumikia timu?

Je watakubali kuacha mahela ya Liverpool yapotee hivi hivi tu kwa mchezaji anayetaka kwenda? Dalili zinaonyesha Liverpool watampata tu mchezaji wao.
 
🚨 Liverpool have agreed personal terms with Marc Guehi! Giovanni Leoni is also keen on the move.

Negotiations underway with Palace for fee around £35m as total package, deal could be done soon.

Liverpool work on both Guehi and Leoni, NOT alternative as revealed today.

Fabrizio Romano
 
Case study Surez alitaka kufosi namna hii ili atue Arsenal unakumbuka miaka Ile Mshua Henry anauliza mnavuta Nini Emirates 🤓🤓🤓? Sema tu Gerrard alikua ni Captain hodari sana.
Tena ikaja kwa Coutinho huyu mpaka alitoa pesa yake mwenyewe ili uhamisho usikwame nk nk haya matukio yapo tu ndugu hua sio fea lakini ndio hali ilivyo.
Isak alishatoa taarifa atasepa dirisha hili tangu Machi huko hivyo wao mapema tu wangepambana kuhakikisa wananua namba 9 sio hizi drama wanazofanya sasa.

YNWA
 
Haya ni yale aina ya mambo ambayo waswahili wanasema 'yasikie kwa jirani' ila yakikukuta ni noma. Sisi Fabregas naye alileta haya mambo mpaka akatumia pesa zake mwenyewe. Barcelona kulimshinda mpaka hata kurudi England aliona aibu kurudi Arsenal na akaenda Chelsea. Uzuri ni story ya Fabregas iliisha vizuri kwake maana mafanikio aliyopata Chelsea, asingepata kwetu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…