Captain Marvelous bhanaaa nimesoma sehemu nyingi sana kumhusu Guéhi inaonekana hafai kwenye mfumo wa Slot 😂😂😂
Marc Guéhi ni disciplined defender, lakini hana kasi ya kutosha ya ku-recover kwenye high line, na kwenye mechi kadhaa ameonekana kubanwa akiwa kwenye presha (pressed in build-up), hasa dhidi ya high-intensity teams.
Katika mfumo wa Slot, beki wa kushoto (LCB) anatarajiwa kuwa na uwezo wa ku-cover space kubwa nyuma ya attacking left-back kama Kerkez. Kwa hiyo, ukosefu wa top-end speed na elite ball distribution ya Guéhi huleta mashaka kwenye compatibility yake na falsafa ya Liverpool ya sasa.
Liverpool wanahitaji plug and play defenders kwenye mold ya mfumo wa Slot."
Guéhi anaweza akakomaa kwenye build-up na akaboresha passing range yake, lakini top-end recovery pace ni attribute ya kiasili ambayo ni ngumu ‘kufundishwa’ na hilo ndilo linamfanya asiwe priority kwa system yenye high defensive line kama ya Slot.