Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni sahihi kabisa kuna uhaba wa ma striker sokoni hivyo Sporting walisema alama za nyakati bahati haikua kwao maana wanaelewa kumbakisha mchezaji asietaka kubaki ni hujuma kwa klabu inayofuata ...
Isak kilichobaki ni yeye akomae na wakala wake kufosi huu usajili ufanyike.
Ila Mkuu huyu dogo akija na Salah ndio point man wetu huoni kama tutapata ishu fulani fulani design kama Mane na Salah🤣🤣🤣

YNWA
Akija huyo chalii ni kama mmejihakikishia kuendelea kukitunza kikombe cha EPL na huenda hata mkachukua UCL 😀😀😀.

Kule nyuma sijui kama kila timu itawaacha salama ila clean sheets zitakuwa siyo ishu. Mtakuwa mnashinda 4-2, 5-3, nk, ilimradi ushindi.

Sisi tuna defense nzuri tu, ila nataka tuone hawa washambuliaji wetu watakuwaje msimu huu. Maana na Gyökeres pale mbele, hata Kai Havertz atakuwa anapiga magoli 20 kwa msimu 🙂😀. Nategemea kuona tukiua timu 4-0, 5-0 na 6-0 kwa wingi.

Sisi na nyie, pamoja na Chelsea na City (na united wakiamka vizuri msimu huu) naona tukipeana ushindani mzuri tena msimu huu.
 
Nyumbu Bado hao 🤣..kama ndo wataenda na wachezaji haohao kina ugate labda watapanda mpk nafasi ya 10
 
Akija huyo chalii ni kama mmejihakikishia kuendelea kukitunza kikombe cha EPL na huenda hata mkachukua UCL 😀😀😀.

Kule nyuma sijui kama kila timu itawaacha salama ila clean sheets zitakuwa siyo ishu. Mtakuwa mnashinda 4-2, 5-3, nk, ilimradi ushindi.

Sisi tuna defense nzuri tu, ila nataka tuone hawa washambuliaji wetu watakuwaje msimu huu. Maana na Gyökeres pale mbele, hata Kai Havertz atakuwa anapiga magoli 20 kwa msimu 🙂😀. Nategemea kuona tukiua timu 4-0, 5-0 na 6-0 kwa wingi.

Sisi na nyie, pamoja na Chelsea na City (na united wakiamka vizuri msimu huu) naona tukipeana ushindani mzuri tena msimu huu.
🤓🤓🤓🤓Tunarudi enzi zile za gengenpressings yaani tunashinda 5 4 tia maji haswaaa mbona patakua patamu sanaaaa.
I forbid mapema sana tuepukane majeruhi kwa ma beki wetu muhimu Konate na VVD maana itakua disaster aiseee.
Sina shaka na magoli mbali ni kuzuia ndio nakosa pozi kabisaaaa.

Kwako Emirates mmesajili vyema na bado naona Arteta anaedelea kutulia macho mabeki kadhaa huku na huku naamini utakua na kikosi Cha ushindi na pengine ndio msimu wa mwisho wa Arteta asipoleta ubingwa Emirates kwani hana Cha kusingizia ...

Chelsea wanahitaji viongozi pale klabuni. Mbio za EPL hua kuna Factors nyingi sana ambazo zinasimama uweze kutoka mshindi. Talent pekee haitoshi aisee. Manchester City wanahitaji approach mpya timu zimeshawajulia na kwenda nao sawa . Usajili wa kocha msaidizi Pep Ljinders utakua umekuja wakati mwafaka kwa Pep maana atawapa new dimension...
Manchester United ni wale wale hakuna jipya ...kupata ubingwa Uingereza panahitaji utulivu sio short cut za Manchester United...

YNWA
 
1000096722.jpg

🤓🤓🤓🤓🤓😍😍😍😍😍😍
Mambo ndio kama yalivyo.

Kina Van Dijk watakuwa fit naona. Kitachowasumbua labda ni uchovu wa kucheza mechi nyingi.

Sisi huwa tuna bahati mbaya ya kukosa mabeki wazuri kama kina Timber au Saliba na Gabriel katika nyakati mbaya. Halafu hata back ups zetu ni nzuri kama Ben White na Calafiori ila na wao pia wanaumia. Tukiweza kukaa na ile back 5/6 vizuri bila injuries za muda mrefu natumaini tutafanya jambo.

Kwa Chelsea nadhani walikuwa wanamsubiri tu Maresca aijuilie ile timu na nafikiri amefanya vizuri (hili tunalisema huku uzi wa Liverpool ila hayuwezi kuwaambia kule kwao).

Labda Manyumbu nao na Amorim ni kama Chelkenge na Maresca. Kapata wachezaji wazuri zaidi. Tumuone atakavyokuja. Challenge ya kuwa kocha mpya asiye na mafanikio ya chap chap ni watu wanakuchukulia poa na kuona kama utabaki hivyo hivyo kwa muda mrefu, halafu unapowapiga wanaona kama unabahatisha kumbe unafanya kweli. Wanakuja kushtuka ukiwa ushawaacha mbali. Hili lilimkuta Arteta.

Kwa Pep sasa...

Huyu jamaa anajua aisee. Yaani tumekuja kugundua kumbe mpirani ni simba ila kwenye mapenzi ni msoft soft tu. Tukifanikiwa kumkasirisha wife wake kidogo tu jamaa anatoka nje ya reli.
 
Nunez is damn mature guy ...yaani nje ya uwanja wako bizy kumuuza lakini yeye ndio anaedelea kufumania nyavu kama kawaida lol...uhakika wa kubakia Liverpool kwake ni kama haupo lakini akivaa huu Uzi ni kazi kazi..
He is quite something salute kwake🫡 🫡 🫡 🫡 🫡

YNWA
 
Saint Anne mwalimu wa Bobby bado aongeze ongeze bidii,, huyu ilibidi tumtafutie kibinti cha Buza huko au Mbagala , kimfundishe uswahili.
Nilishamwambia kuwa atajichanganya tu
Hatimaye siku imewadia
Kwenye wapi aweke 'm' , 'n', na wapi asiweke.
Kwa kuweka haweki, pa kutokuweka anawekwa.

Mwalimu bado tunamdai..
Wacha tuendelee kumlipia ada😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom