Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kumbe kuna signing linaendelea πŸ˜‚πŸ˜‚ FSG hawataki utani, ila najiuliza kwann hawakufanya hizi signing kwa kwa klopp?
Klopp alijenga timu hatua kwa hatua kwa bajeti finyu kutokana na mazingira na falsafa yake binafsi.

Slot anakuta Liverpool iko kwenye nafasi nzuri kifedha na analazimika kufanya β€œstatement signings” mara moja.
 
Kalijificha ili tukaulizie
Aisee sema tu ukweli wako, nilifichwa na kitoto kimoja kizuriiiii,..
Height -->Macca (approximately).
Colour (secret).
Behavior --> Mo Salah A+.
Personality --> Nunez plus Robbo.
Physical appearance --> Szoboszlai's Jersey number.

Mengine nikirudi mafichoni nitaandika notes, haya ya haraka haraka kuhusu hako katoto ka two thauzandi.

Ynwa'
 
View attachment 3413196
Karibu Anfiled πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯

YNWA
With his height na mguumi anachokifanya ni raha kukiangalia.

Mchazji mrefu mwenye technical abilities zake, kind of Bobby's type. Ekitike anachopelea kwa Bobby ni superpower. Hana pumzi kama za bobby ila ku link up na mstari wa juu yupo vizuri sana jamaa. Alipokua na Omar Marmoush kwa game nilizowaangalia ni burudani. I can't wait kuona akiwa na good players atafanyaje? Huku Salah, Huku Gakpo, Diaz, nyuma yako una Wirtz, Szobo, Macca, Pembeni juu na chini una Kerkez na Frimpong.

Ngoja tuone maana EPL is just EPL aisee.

Ynwa
 
Subiri outings zianze, net spend itarudi kule kule tulipozoea.

Ynwa
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Klopp kampa dogo platform ya utajiri haonekani hapo hii imekaa aje.

Hivi Salah ndio GOAT ama ni Drogba au Eto...

YNWA
Nafikiri Salah ana aina ya mpira anaovutiwa nao na huo ndio ameukuta kwa Spalletti, kwa Klopp pengine hakuupata, mambo ya like and unlike haya.

Binafsi Eto'o anastahili huo uAfrican G.O.A.T.

Ynwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…