Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Kinyozi wa Gakpo akamatwe anyongwe
Ndio nini kutuharibia Gakpo wetu na hayo marangi🥹
Kawa kama kapaka sabuni ya Jamaa anataka kuoga
Hapana kwa kweli,hata kanisani tutamshangaa hiyo mirangi 😒
Kinyozi wa Gakpo akamatwe anyongwe
Hello dada yetu kwa udhamini wa Cody Gakpo naomba niisave hiyo avatar yako, imenoga etiKinyozi wa Gakpo akamatwe anyongwe
Ndio nini kutuharibia Gakpo wetu na hayo marangi
Kawa kama kapaka sabuni ya Jamaa anataka kuoga
Hapana kwa kweli,hata kanisani tutamshangaa hiyo mirangi
ngozi nyororo, yawezekana labda hujui, nikutonye tu kwamba hiyo ni picha yake halisi sio ya kudownload mtandaoni😂😂Hello dada yetu kwa udhamini wa Cody Gakpo naomba niisave hiyo avatar yako, imenoga eti
Ichukue tu😂Hello dada yetu kwa udhamini wa Cody Gakpo naomba niisave hiyo avatar yako, imenoga eti
Huyu kinyozi aonyeshe sura yake akamatwe aiseeView attachment 3412789
New dawn new hair style new vision....
Kama anaanza kushawishi abakie🙈🙈😄😄😄😄ma ha trick hot hot.
YNWA
najiskia kuoverthrow someone from Netherlandsngozi nyororo, yawezekana labda hujui, nikutonye tu kwamba hiyo ni picha yake halisi sio ya kudownload mtandaoni
kweli eti, love is so paramountIchukue tu