fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,221
- 9,273
Kwahiyo tumekubaliana kwenda na Grav kama 6 yetu msimu ujao au bado mnasajili?
Maana nakumbuka kama isingekuwa kubeba kombe la EPL, lawama zote zingekuwa kwenye mapungufu ya hiyo nafasi.
Tukubaliane kabisa ili msimu ukianza tusione malalamiko kwa Edwards au Slot.