Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Heir to TAA.....
YNWA
Ichukue tu hiyo avata kama umeipenda. 😂kweli eti, love is so paramount
Hakuna watu wanakula kwa jasho kama wachezaji wa mpira 🙌🙌
Ana nywele nyingi huyu mtoto jamani
avatar pekee haitoshi, niongezee na zile tarakimu pale kwa PMIchukue tu hiyo avata kama umeipenda.
Mimi nalia tu na kinyozi wake
Huyu kaka anatisha sana akivaa uso wa kazi
Ushawahi kuangalia UFC Ile ndio kula kwla Kwa jasho 🤣🤣🤣Hakuna watu wanakula kwa jasho kama wachezaji wa mpira 🙌🙌
Salah na Robertson wanaonekana ni washikaji sana.