Sheikh Salah is 64 years old-Florian Wirtz is 22 yrs
-Gravenberch is 23 yrs
-Cornor Bradley is 22 yrs
-Frimpong is 24yrs
-Milos Kerkez is 21yrs
-Szoboszlai is 24yrs
-Mamardashvili is 24yrs
-Mo Salah aging like Fine Wine.
-Konate is 26yrs
-Mac Allister is 26yrs
-VVD is 34yrs
-Ekitike is 23 yrs
-Jones is 24yrs
-Rio Ngumoha is 16yrs
- Gakpo is 26yrs
Dynasty for a decade🔥
We nampendaje mtu barobaro hivyo nywele kaacha utasema ana njugu kichwaniTayari huku 😂😂😂😂
Dada yetu keshapenda upya
Kazi ipo😂😂😂
Kwa sasa hakuna anayemfikia Gakpoasikutatize na huyo bitozi we komaa na kipenzi chako Gakpo tu
Aliyemnyoa huyu mtoto nywele akamatwe
Sio Trent?We nampendaje mtu barobaro hivyo nywele kaacha utasema ana njugu kichwani
Gakpo anatosha
Ila aliyempaka mirangi kichwani akamatwe
Kwani anarudi tena?
Trent kitambi keshaondokaSio Trent?
Gakpo anaenda BayernTrent kitambi keshaondoka
Asiyekuwepo na lake halipo
Simpendi tena
Ona kichwa hicho
Haondoki sasahiviGakpo anaenda Bayern
Usishangae kukawa na surprise dakika za jioni.Haondoki sasahivi
Hakuna kitu kama hichoUsishangae kukawa na surprise dakika za jioni.
Anasaka mwanzo mpya aidha ndani ya Liverpool ana nje ya LiverpoolOna kichwa hicho
Akiyanani huyu kinyozi akamatwe
Kamuharibu huyu mtoto
Labda nywele kaona zinampotezea muda tu.Aliyemnyoa huyu mtoto nywele akamatwe
Mtoto mdogo amekuwa kama mzee
Kwani kuosha tu na kubana kunapoteza muda?Labda nywele kaona zinampotezea muda tu.
YNWA
Mimi pia nimemiss Sana Bobby🥰Hapana amekukumbuka alipo 😆😆😆😆
YNWA