OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Ndugu Jota poker ndio mchezaji wa maana kwa sasa ameshatangulia hatua moja mbele, wazee wengi hapo Liverpool, kwa sasa tuko na msiba subiri tumalize tuanze kuwapasha Habari,Chelsea ina wachezaja wa UMISETA Alaf unatuita sisi takataka
Ni photoshop mkuuHiki ni nini? 👇View attachment 3393820
Hata wachunguzaje, mwamba wetu ndio kaisha tutoka hivyo yaani naumia sana 😭😭😭, Jota alikuwa mpole sana na ndio kitu kinacho waumiza wengi mashabiki wa soka, imagine anaacha watoto wadogo vile inaumiza sana R.I.P Jota.View attachment 3394194
Authorities are investigating whether the crash was caused by a punctured tyre that blew out.
Haya madubwasha sio ya kuyajibu unayaacha tuUna utoto na ushamba mwingi sana Dogo
Ndo tabu ya watu kujua mpira ukubwani... kitimu mafanikio kimeyapata miaka 10 nyuma kejeli nyingi sasa si mwehu tu huyo.Bro in these sad times ushabiki tuuweke pembeni huna haja kukejili yoyote