Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukiongeza na fact kuwa ana watoto watatu wadogo wote wamezaliwa Liverpool, ametoka pia kufunga ndia juzi tu na pia amefariki na kaka yake pamoja ambao ndio watoto wa pekee wa familia yao inaumiza zaidi asee
Dah! Ni kweli, cha muhimu watoto wake wapo hai uzuri wazungu sio kama sisi hao watoto watalelewa tu vizuri na watasoma vizuri bila shida yoyote.
 
Mo Salah

 

Maisha ni mafupi guys... Yaaani matukio kama haya yanaumiza sana sanaa Mei kasharekea kutwaa ubingwa EPL na baadae hao NL na Leo hii hatupo nae.
Life can be really cruel 😞 😞 😞.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…