Mungu wanguPoleni sana wana jukwaa wote hapa ndani ni msiba unaoumiza sana kwa wapenzi wote wa kandanda duniani.
Poleni sana
pole sana Saint Anne
SamaGone to soon jota!!
We Acha tuSama
Mdogo bado
Mbaya zaidi kifo. Cha ajali uwii💔😭
Jota yupo kwenye list yako na amefariki, inauma sana.Hivi akianza Florian, Grave, Mac , Szbo nani anakaa nje? Diaz au Jota au Gapko.
Mambo mazuri yaja.
YNWA
Alipigwa sana spana humu last seasonDaah! Maisha kmk!!!
R.I.P. Jota... fundi wa mpira!
pole mama na ili nalo litapita.Jamani Jota wangu mwee😭😭😭😭
Jamani nyie 😭😭
Ina maana msimu ujao hatukuoni tena?
Mungu wangu kifo hiki😭😭😭
Jota umetuumiza😭😭💔
Pole sanaJamani Jota wangu mwee😭😭😭😭
Jamani nyie 😭😭
Ina maana msimu ujao hatukuoni tena?
Mungu wangu kifo hiki😭😭😭
Jota umetuumiza😭😭💔
😭😭😭Poleni sana wana jukwaa wote hapa ndani ni msiba unaoumiza sana kwa wapenzi wote wa kandanda duniani.
Poleni sana
pole sana Saint Anne
Msimu ujao wachezaji wajitoe kwa ajili yake na kombe wali-dedicate kwa Jota Aisee! Dogo nilikuwa nampenda sana! Kila akiingia nilikuwa nina matumaini sana!Jota Mungu amjalie pumziko la kheri ... Kwake tutarudi hakika
TutawafikishiaNimepokea wa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Diogo Jota na Nduguye Andre Silva.
Nitoe pole kwa club ya liverpool na mashabiki wake waliopo dunia nzima.
Pole wote.
RIP Diogo Jota.