Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Here he comes...
Tumesajili golkipa namba 3. Ana miaka 28.
Karibu Anfiled.
YNWA
JamiiForums update huu uziLiverpool page yetu inabidi irelebishwe
Toa Yuda TAA
Weka pia mwaka 2024/25 tumechukua
View attachment 3386106
Here he comes...
Tumesajili golkipa namba 3. Ana miaka 28.
Karibu Anfiled.
YNWA
Na hii ya Isak itatimia?View attachment 3386577
Ukisikia long term plan ndo hii sasa, lilikuwa ni suala la muda tu. Edward katika ubora wake akiamua jambo atalikamilisha tu haijalishi ni lini 😂😂😂
Duuh kumbe hii ni target ya zamani hivi....View attachment 3386577
Ukisikia long term plan ndo hii sasa, lilikuwa ni suala la muda tu. Edward katika ubora wake akiamua jambo atalikamilisha tu haijalishi ni lini 😂😂😂
Dah! Hadi nimecheka kwanza 🤣🤣🤣Dogo kwa mara ya kwanza anafanya mazoezi kwenye Gym za kitajiri na mazoezi kwenye viwanja vya kitajiri anajipiga selfie tu kuwarushia madem zake.