Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Ndio Mkuu wapambane msimu ujao wawepo.Soboslai na Makalista wameachwa?
YNWA
Ndio Mkuu wapambane msimu ujao wawepo.Soboslai na Makalista wameachwa?
Daah nyie hata vi under 8 mnavipigia PR ya kufa mtu?View attachment 3365538
Under 8 signings 🤣🤣🤣
Hii hata kwenye group la whatsapp jamaa wanamaindi sana 🤣🤣🤣Trent Kihispaniola alijifunza kwa muda gani?
Nimeamini kumbe alitusaliti kitambo😄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sio kwa ahadi hii yaaani January kombe la 21 Anfiled jamani jamani aaa tutaboa aisee . Kusema ukweli hua kuna Raha ya timu kukimbizana kwa pointi 1 au 2 kama vile Liverpool na Manchester City miaka kadhaaa.....Hii nimecheka sana 🤣🤣🤣
From Facebook
Unaambiwa Gravenberch na Alexis Mac Allister hawana ruhusa tena ya kuchezesha timu wao kazi yao ni kukaba tu.
Mo Salah ile kazi yake ya kutengeneza nafasi amenyang'anywa amekabidhiwa kazi ya kuwafunga tu.
Kazi ya kuhakikisha timu inacheza kwa miondoko tofauti tofauti amekabidhiwa Florian Wirtz. Jamaa amelia sana baada ya kuonyeshwa video za Nunez akikosa magoli.
Florian Wirtz ameahidi msimu ujao mfungaji bora amna amna ni magoli 50 na yeye atapiga assist 45.
Ametangaza hali ya hatari Liverpool atabeba ubingwa mwezi Januari 2026 iwe mnataka au hamtaki.
Alafu hili neno mtateseka sana analirudia rudia kila mara.
Mkweli Alcantara✍
Story za Mashabiki mitandaoni let's see nini kitakuwa next season🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sio kwa ahadi hii yaaani January kombe la 21 Anfiled jamani jamani aaa tutaboa aisee . Kusema ukweli hua kuna Raha ya timu kukimbizana kwa pointi 1 au 2 kama vile Liverpool na Manchester City miaka kadhaaa.....
YNWA
Now we aim for UCL glory and the cycle will be complete..
The more the numbers the better,just remember Salah ain't getting younger and we need to manage expectations especially from Salah so let's the young wizard come and add more fire power upfront 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾When Florian Wirtz arrives… what happens to Dominik Szoboszlai 👀
This season:
🇩🇪 Wirtz — 16 goals, 14 assists
🇭🇺 Szoboszlai — 8 goals, 8 assists
Both are incredibly gifted, but the numbers don’t lie. Wirtz is on another level right now.
If they end up in the same squad, someone’s minutes are getting squeezed.
mhm acha mkuu, sisi wengine tuna magonjwa ya wazee tukiwa vijana😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sio kwa ahadi hii yaaani January kombe la 21 Anfiled jamani jamani aaa tutaboa aisee . Kusema ukweli hua kuna Raha ya timu kukimbizana kwa pointi 1 au 2 kama vile Liverpool na Manchester City miaka kadhaaa.....
YNWA
Jamaa anaandika kwa mbwembwe sana, yaani nafurahia kinoma.maandishi yakeHii nimecheka sana 🤣🤣🤣
From Facebook
Unaambiwa Gravenberch na Alexis Mac Allister hawana ruhusa tena ya kuchezesha timu wao kazi yao ni kukaba tu.
Mo Salah ile kazi yake ya kutengeneza nafasi amenyang'anywa amekabidhiwa kazi ya kuwafunga tu.
Kazi ya kuhakikisha timu inacheza kwa miondoko tofauti tofauti amekabidhiwa Florian Wirtz. Jamaa amelia sana baada ya kuonyeshwa video za Nunez akikosa magoli.
Florian Wirtz ameahidi msimu ujao mfungaji bora amna amna ni magoli 50 na yeye atapiga assist 45.
Ametangaza hali ya hatari Liverpool atabeba ubingwa mwezi Januari 2026 iwe mnataka au hamtaki.
Alafu hili neno mtateseka sana analirudia rudia kila mara.
Mkweli Alcantara✍
Mimi huwa nakadis ila kuna muda kibinadamu huruma inakuingia.🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾Hakika sio kawaida zile nafasi anazokosa kufunga lazima apate msaada wa ziada.
YNWA
Sijakuelewa mkuu unamaanisha Szoboszlai awe force 9? Au awe Winger ?.The more the numbers the better,just remember Salah ain't getting younger and we need to manage expectations especially from Salah so let's the young wizard come and add more fire power upfront 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
YNWA
Szobo awekwe 6 tu ana uwezo wa kukaba kuliko hata Grav😂😂🏃🏃Sijakuelewa mkuu unamaanisha Szoboszlai awe force 9? Au awe Winger ?.
Mimi pia hili nilikuwa naliwaza la Szoboszlai Na Wirtz Arne itakuaje kwake, anyway msimu ujao tuna makombe mengi tunahitaji tushinde squad lazima iwe pana na ya kutisha kwa wapinzani mpk wa Carabao.
''May never'' tena mkuu, Wirtz tayari tunae tu na tunajidai naeDisrespecting our players like grave and Alexis for a player is is never here ni kitu kibaya sana
They are people too… kesho wakiamua kuondoka tunawaita wasaliti
I don’t like hii tabia ya asenane kabisa
We shouldn’t even entertain it
Wirtz May never come to Lfc, tutabaki na hao hao waliotupa ubingwa
Heshima imerudi kwa wawekezaji! Wametisha msimu huu! Tuliyapondea sana kumbe yanatu-zoom tu!