Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Achangamke sasa. Akikosa magoli ya wazi hatumuachi salama.🤣🤣🤣🤣Bila shaka unaridhia Nunez apewe mmoja tena 💪🏾💪🏾
YNWA
Achangamke sasa. Akikosa magoli ya wazi hatumuachi salama.🤣🤣🤣🤣Bila shaka unaridhia Nunez apewe mmoja tena 💪🏾💪🏾
YNWA
Huyu dogo ni papara tu akiwa na utulivu naamini magoli yapo.Achangamke sasa. Akikosa magoli ya wazi hatumuachi salama.
🤓🤓🤓🤓Ingekua nyie sio EPL contenders naamini dili ingewezekana lakini duh huyu akija kwenu ina maana mnazidi kujiweka pazuri kusaka ubingwa...60 mbona sisi tunatoa tu chaap? Nyie njooni mtuambie tu mnataka tuwape 60 muone jinsi itakavyoingia kwenye account yenu kabla hata hamjamaliza kuongea.
Wamtafutie mwanasaikolojia amtibuHuyu dogo ni papara tu akiwa na utulivu naamini magoli yapo.
YNWA
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾Hakika sio kawaida zile nafasi anazokosa kufunga lazima apate msaada wa ziada.Wamtafutie mwanasaikolojia amtibu
Maana ile siyo akili ya kawaida kwa kweli , lazima ana shida .
hii dili lifeli tu, 150 mbona nyingi sana, hata kama sio zangu ila akiflop itakua bonge la hasara!Msimu huu, wapinzani wanywe maji mengi mpaka moyo uelee maana yatakiwa mabio sio kitoto.
Kumbe FSG wakiamua wanaweza bhana.
View attachment 3363859
Kweli nyie mna roho mbaya kuliko sisi kwenye kupeana wachezaji. Mlitunyima Suarez mkatupa Benayoun ila sisi tuliwapa Oxlade-Chambelain akasaidia kuwapa makombe.🤓🤓🤓🤓Ingekua nyie sio EPL contenders naamini dili ingewezekana lakini duh huyu akija kwenu ina maana mnazidi kujiweka pazuri kusaka ubingwa...
YNWA
Hii imekaaje kitaalam?No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi
#NoReformsNoElection
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchiHii imekaaje kitaalam?
🤣🤣🤣🤣Bosi kubwa Henry aliuliza mnavuta ya Arusha ama ya wapi maana nyie kusikia Surez ana kipengele Cha £40m+ basi mkatuvaa mazima na £40m+1 yaani mkamboa sana Henry...Kweli nyie mna roho mbaya kuliko sisi kwenye kupeana wachezaji. Mlitunyima Suarez mkatupa Benayoun ila sisi tuliwapa Oxlade-Chambelain akasaidia kuwapa makombe.
Yule jamaa alikuwa mhuni tu. Release clause ilikuwepo ya 40mil sisi tukaongeza kabisa na pauni moja ya sigara kwa Henry lakini jamaa akachomoa.🤣🤣🤣🤣Bosi kubwa Henry aliuliza mnavuta ya Arusha ama ya wapi maana nyie kusikia Surez ana kipengele Cha £40m+ basi mkatuvaa mazima na £40m+1 yaani mkamboa sana Henry...
YNWA
🤣🤣🤣🤣🤣Kazi mnayo kama vipi leteni mpunga labda Henry kwa Nunez atashawishika kuwapa🙈🙈Yule jamaa alikuwa mhuni tu. Release clause ilikuwepo ya 40mil sisi tukaongeza kabisa na pauni moja ya sigara kwa Henry lakini jamaa akachomoa.
Nyingi sana, hapo tungepata DM na LCB tukamaliza mchezo.hii dili lifeli tu, 150 mbona nyingi sana, hata kama sio zangu ila akiflop itakua bonge la hasara!
Tuje basi na 40m+1. Hii ichukueni kufidia ile mliyozongua.🤣🤣🤣🤣🤣Kazi mnayo kama vipi leteni mpunga labda Henry kwa Nunez atashawishika kuwapa🙈🙈
YNWA
😂😂Hatuwauzii washindani wetu bhana ... Nunez Saka Martineli itakua balaa nyuma amesimama Odergad yaani mtatisha sana hivyo hapana ndugu hatuuzi.Tuje basi na 40m+1. Hii ichukueni kufidia ile mliyozongua.