Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kama tetesi hizi tajwa dirisha hili zikifanyiwa kazi zikawa kweli basi tuna kikosi kamili ndugu yangu na pazuri asilimia kubwa wanaotajwa wapo chini ya miaka 25 hivyo Wana nafasi kubwa sana kutuletea makombe kwa miaka kadhaaHeshima imerudi kwa wawekezaji! Wametisha msimu huu! Tuliyapondea sana kumbe yanatu-zoom tu!
Tuwe na subira FSG wampe kikosi kazi bwana Slot.
YNWA